Usiwe na paparaKama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Ahadi ni deni, sijui kama watakubaliana naye au watataka mpunga wao urudishwe.Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
That’s it !Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Je wewe uliona ni kauli ya waziri kuwaambia wananchi walipa kodi?Naona mihela mihela ya kulipia faini za kuvunja mikataba tunazo za kutosha !
As long as alivyosema Mwigulu hakuna mtu atafuatwa nyumbani kwake alazimishwe kulipa deni !
Naona iko poa tu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Watu wanataka madiniKama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Hata siku moja mwizi hawezi acha daima!! mkono mrefu wa mwizi haufupishwi!Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Wale ni jumuiko la chawa, ni 2% ya wabunge ambao wako pale kwa ajili ya wananchiKama tumepatwa kwenye taasisi ya urais basi ni kipindi hiki.....wabunge tuliolazimishiwa kuwa wawakilishi kama vile hawapo!
Umewaza mbali mkuu.Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For example DP world anaweza kuisitisha? Consequencies ni zipi?
Mimi si CCM, lazima nifikiri! Wewe usifikiri maana ukiwa CCM unakuwa "kichwa" wazi rafiki John!Usiwe na papara
Mimi nawaita "takataka" kwa sababu hawakidhi haja yoyote....Kama tumepatwa kwenye taasisi ya urais basi ni kipindi hiki.....wabunge tuliolazimishiwa kuwa wawakilishi kama vile hawapo!
asante sana!Retired sisi haituhusu kama walishakula mlungula, kikubwa tumepaza sauti na imesikika.
Kuhusu Dp world kifuatacho kinafurahisha na kuchekesha sana.
Relax mkuu, mwisho wao umefika. Amini kwamba tumeshinda vita na tutaendelea kushinda
Kwetu ni kushukuru kadiri tuwezavyo mengine yatafanywa na mamlaka iliyopo juu ya mamlaka zote.