Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart.

Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
 
Ni wabaguzi wabinafsi. Wanasisitiza wakenya wapende vya kwao wakati kabla ya kuingia stejini wanatafuna mirungi, na kupelekea sauti kuwa kama watu wanao fokeana badala ya kuburudisha
 
Kenya 95% ni team alikiba...angekua kiba Wala hayo yasingetokea....wanamchukia sana diamond
 
Hata siasa zao,na maandamano ingawa ni haki ya msingi huko mbele sana tunakoelekea Kenya inaweza kuwa kama Sudan vita ya wenyewe kwa wenyewe. Ni watu ambao wanaweza kuziamsha mda wowote
 
Yaani uzi tayari?unadhani wote tunajua yaliyotokea Kenya?
 
Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart.

Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
Ni nature ya makabila ya huko we kaa na wajaluo ndio utajua kwanini huko wakenya walivyo..
 
Ni wana roho mbaya, na wabaguzi. Ndo mana huko kwao wanabaguana kwa makaba yao
 
Back
Top Bottom