Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unadhani in reality kabisa yanga wanaweza kumruhusu Feisal ajiunge na Azam kwa sasa?? Kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu kwa ajili ya maisha yako. Njia hii inaweza kumgharimu lakini ndio the "hard way" to success. Hata asipoenda Azam akabaki Yanga tayari amewakumbusha kwamba anastahili kulipwa vizuri. Binafsi namuunga mkono FeisalKumbuka mkataba wa ajira ni tofauti na football mkuu, kazi naweza kuamka asbuhi nikawaambia nimeacha kazi ama kuwa mtoro siku nne mfululizo bilq taarifa tayari mkataba unavunjika. Lkn mpirani kunataratibu zake azifuate aondoke tu maana kila sehemu kunautaratibu wake. Mfano alichokifanya klabu akimfanyia mchezaji yupo likizo akapewa barua mkataba wako umevunjwa bila mazungumzo yoyote tutalaum sana clabu. Sheria zifutwe tu.
Labda kwa kuwa alikuwa anatokea Pemba, sio Congo au Burkina FasoNimeunga mkono 100% kwa hili yanga wamezingua sana. Sijui injinia aliwaza nini juu ya fei