Kumbuka mkataba wa ajira ni tofauti na football mkuu, kazi naweza kuamka asbuhi nikawaambia nimeacha kazi ama kuwa mtoro siku nne mfululizo bilq taarifa tayari mkataba unavunjika. Lkn mpirani kunataratibu zake azifuate aondoke tu maana kila sehemu kunautaratibu wake. Mfano alichokifanya klabu akimfanyia mchezaji yupo likizo akapewa barua mkataba wako umevunjwa bila mazungumzo yoyote tutalaum sana clabu. Sheria zifutwe tu.