SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wengi wanajiuliza kuporomoka ghafla kwa uwezo wa Yanga msimu huu kumetokana na nini.
Kuna mvutano mmoja umekuwa unaendelea kati ya Gamondi na uongozi wa Yanga. Ni kwamba, Yanga imekuwa inamlazimisha Gamondi kuzipa mbinu na maelekezo timu pinzani zinazocheza na Simba na Gamondi amekuwa hakubaliani na hilo akisema hilo siyo jukumu lake pale Yanga na mshahara wake haujumuishi jukumu hilo. Hata anapofanya hivyo amekuwa anafanya hivyo kwa shingo upande.
Shida ilikuwa kubwa zaidi pale Simba ilipokuwa inacheza na Al Ahly Tripoli, uongozi wa Yanga ulimshinikiza kweli kweli Gamondi awachoree mfumo Al Ahly wa kuifunga Simba. Pale ndiyo walivurugana hasa na ndiyo imepelekea mazingira tunayoona sasa ya pande mbili kusalitiana na kuhujumiana.
Gamondi hatutakula naye Christmas.