Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna kipindi nlisoma kijana mmoja humu ambaye ana jinsia ya kiume akilalamika na kutaka msaada kwa wanajamii kuhusiana na kushikwa shikwa makalio na kutongozwa na mwalimu wake wa kiume chuoni.
Kama week mbili hivi sikuweza kula kabisa... Nlijawa na hasira sana... Nlikuwa natetemeka tu kwa hasira na kila napokumbuka kifua kinajaa sana.
Nliwaza miaka yetu ile tunakua. Mtu akikushika makalio.... Mwisho wake ni mbaya sana. Yaani ingetangazwa kwenye vyombo vya hbari huyo mtu amepigwa na raia mwenye hasira kali na amelazwa. Huku raia akiwa chini ya uangalizi.
Hayo mambo ya kushikana makalio sisi wengine tunayaona tu huku Pwani miaka hiyo ya 80.kule kwetu Mara ..... Unamgusa mwanaume makalio.... Muraaaa..... Aaaargh hiro ni tusi kubwa sana mura... Tusi kubwa sana.
Yaani hapo mzazi wa mtu atafiriwa mwanawe on ze spot mura. Yaani kabisa kabisa mutu anakuja anashika makario yangu mimi mwanaume? Atacharangwa vibaya sana.