issue ya james kotei simba imenisikitisha

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye usajili maana mkataba umeisha anatakiwa apewe sio chini ya milioni 80 na kuongezewa mshahara
cha kushangaza wanamuacha na kumletea mbrazil ambaye sio siri atawika mechi mbili tatu kwenye viwanja vizuri huko mikoani yeye mwenyewe ataompa poo,atapigwa misumari na kukrudi kwao kama kina jaja
Kweli mnamucha kotei ambaye alikuwa keshazoea team, na kafnya vyema? kweli jamani,siamini aisee hata danadana ya walter bwalya imenishangaza sana mwishowe tunaambiwa kuna mshambuliaji wa orlando pirates tunamgombania na Eibar ya spain,sijui kwa hela gani sasa kama milioni 800 ya bwalya ilishindikana.Kuweni serious basi kina magori
 
Nan kakuambia kaa hwa kaka where is official statement from the team?..apart from why unaanza kumtilia shaka mchezaji mpya kabla hajaanza kaz yake?..pia wapi simba imesema amekuja kwa ajili ya kumreplace kotei?...SUBRA SUBRA SUBRA...SUBRA NI IBADA KAKA
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye usajili maana mkataba umeisha anatakiwa apewe sio chini ya milioni 80 na kuongezewa mshahara
cha kushangaza wanamuacha na kumletea mbrazil ambaye sio siri atawika mechi mbili tatu kwenye viwanja vizuri huko mikoani yeye mwenyewe ataompa poo,atapigwa misumari na kukrudi kwao kama kina jaja
Kweli mnamucha kotei ambaye alikuwa keshazoea team, na kafnya vyema? kweli jamani,siamini aisee hata danadana ya walter bwalya imenishangaza sana mwishowe tunaambiwa kuna mshambuliaji wa orlando pirates tunamgombania na Eibar ya spain,sijui kwa hela gani sasa kama milioni 800 ya bwalya ilishindikana.Kuweni serious basi kina magori
 
Yamekuwa haya tena? Kisa Kilomoni na Bi Hindu.
Si uliona yale mabusu aliyokuwa anapewa Babu Kilomoni na wasichana wadogo warembo wa
Yanga ?
Tena busu za Ndimi kwa Ndimi tena hadharani mchana kweupe...!
Hivi ulijiuliza ni kwanini ?
Si uliona Sirikali yoote ilihamia kwenye sherehe ya Bakuli Kuu.
Si uliona Serekale ilivyo hangaika kuichangia Yanga na kuwalazimisha baadhi ya matajiri waichangie ?
Si uliona Sereka hadi inatoa Ardhi yake kuipatia Yanga tena buree ?
Si uliyasikia mazungumzo ya Viongozi wa juu wa Sele siku ile kuhusiana na
Yanga ?
Hivi ushajiuliza kama kuna timu yoyote ishafanyiwa hayo mambo na
Seli ya hapa TZ ?
Unakumbuka enzi za Manji jinsi timu ya Simba ilivyokuwa choka mbaya na kuukosa ubingwa wa ligi Mara NNE mfululizo ?
Jiulize Siri ilifanya chochote kuisaidia Simba ?
Je ni kwanini ?

Hitimisho.
Kuanzia mwakani na kuendelea Yanga ndio inastahili kuwa bingwa wa Ligi ya TPL.
Ili Nchi iwe salama.

Hivyo basi Simba hatunabudi kusajiri wachezaji magalasa ili lengo litimie.
 
Kama ni kweli Simba ina mpango wa kumuacha James Kotei a.k.a iron man basi huu utakuwa mchemko wa mwaka zaidi ya wa mwaka ule viongozi walipoleta ujuaji kumuacha Hamis Tambwe halafu wakamleta Sserenkuma.
 
Hawana fedha jamani. Wameanza kufulia baada ya Mo kutopewa Hati ya nyumba.
 
Kama ni kweli Simba ina mpango wa kumuacha James Kotei a.k.a iron man basi huu utakuwa mchemko wa mwaka zaidi ya wa mwaka ule viongozi walipoleta ujuaji kumuacha Hamis Tambwe halafu wakamleta Sserenkuma.
Shidah kotei anaitaka kaizer chief kachoka kucheza viwanja vibovu
 
Si uliona yale mabusu aliyokuwa anapewa Babu Kilomoni na wasichana wadogo warembo wa
Yanga ?
Tena busu za Ndimi kwa Ndimi tena hadharani mchana kweupe...!
Hivi ulijiuliza ni kwanini ?
Si uliona Sirikali yoote ilihamia kwenye sherehe ya Bakuli Kuu.
Si uliona Serekale ilivyo hangaika kuichangia Yanga na kuwalazimisha baadhi ya matajiri waichangie ?
Si uliona Sereka hadi inatoa Ardhi yake kuipatia Yanga tena buree ?
Si uliyasikia mazungumzo ya Viongozi wa juu wa Sele siku ile kuhusiana na
Yanga ?
Hivi ushajiuliza kama kuna timu yoyote ishafanyiwa hayo mambo na
Seli ya hapa TZ ?
Unakumbuka enzi za Manji jinsi timu ya Simba ilivyokuwa choka mbaya na kuukosa ubingwa wa ligi Mara NNE mfululizo ?
Jiulize Siri ilifanya chochote kuisaidia Simba ?
Je ni kwanini ?

Hitimisho.
Kuanzia mwakani na kuendelea Yanga ndio inastahili kuwa bingwa wa Ligi ya TPL.
Ili Nchi iwe salama.

Hivyo basi Simba hatunabudi kusajiri wachezaji magalasa ili lengo litimie.
Nadhani tofauti ni kwamba simba ya kipindi hiko ilikuwa ni masikini jeuri, tofauti na Yanga wamekuwa wazi kuwa ombaomba na ndio maana wamewekeza kwenye kuombaomba.
 
Tatizo lenu hamjui kwamba usajili unaendana na vigezo. Nilazima mjue simba imejifunza mengi kwenye michezo ya kimataifa.

katika mashindano yale ilidhihika ubora wa wachezaji wa timu simba na watimu shindani. Viwango vilikua mbali sana.

hivyo nilazima simba ifanye usajili wake kwa kuangalia vigezo na siomajina. Hivyo simba inajua inachokifanya. Tuwape muda
 
Kwa maoni yangu tungeachana na kotei, Kotei anacheza kizamani sana, anajua kukaba Ndio lakini si mzuri kuanzisha mashambuliza kama walivyo viuongo wa kisasa.
Pili kubaki na mkude pekeake ni bora kumbakisha pia kotei.
Mkunde ni mzr kujenga mashambulizi lakini si mzri sana kukaba
 
Back
Top Bottom