nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye usajili maana mkataba umeisha anatakiwa apewe sio chini ya milioni 80 na kuongezewa mshahara
cha kushangaza wanamuacha na kumletea mbrazil ambaye sio siri atawika mechi mbili tatu kwenye viwanja vizuri huko mikoani yeye mwenyewe ataompa poo,atapigwa misumari na kukrudi kwao kama kina jaja
Kweli mnamucha kotei ambaye alikuwa keshazoea team, na kafnya vyema? kweli jamani,siamini aisee hata danadana ya walter bwalya imenishangaza sana mwishowe tunaambiwa kuna mshambuliaji wa orlando pirates tunamgombania na Eibar ya spain,sijui kwa hela gani sasa kama milioni 800 ya bwalya ilishindikana.Kuweni serious basi kina magori