Issue ya kajala ndo imedhihirisha kuwa umaarufu sio kigezo cha maisha mazuri

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.

Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions, dopamine na sifa uchwara za washikaji dau huwa zinawafanya wa dhani wao ni wazuri kwenye kila angle.

Kajala kuonesha raw emotions mbele ya camera ni funzo kubwa sana kwa hawa vidampa wa mjini wanaodhani uzuri wa sura na makebo ndo gateway ya wao Kutoboa.

Binafsi huwa napenda sana mwanamke anaye jua kuwa uzuri wa nje sio kigezo cha yeye kupendwa, anyetambua kuwa uzuri wa tabia na akili na hekima ni rasilimali isiyo koma kwa mwanaume. Wanawake type hii bahati mbaya huwa sio wazuri kwa nje, huwa ni wale ambao hawana option nyingine bali ku act vizuri na kuwa na guts za kujitegemea ili waweza kuwa na self accomplishment pasipo nguvu ya hela ya mwanaume.

Funzo analolitoa kajala la kusema ni kheri angerudisha muda nyuma akachagua kubadili maamuzi yake, ndo haya wanavyo fanya wasichana wa kileo, ambao pigo zao ni kubwa hata kumzidi yeye.

Hakuna high value men wa ku settle na kidampa asiye na akili, hakuna mtu wa kukaa na mwanamke asiye na vision ya aina yoyote kwenye maisha yake.

Laiti mwanamke angelitambua kuwa gateway ya yeye kuishi maisha ya furaha ni ndogo sana, asinge chezea usichana wake in the name of kuhongwa vigari na kutupiliwa mbali kama Takataka. Angelitambua amani ya kweli iko katika familia anayoijenga yeye mwenyewe

Ona Kazaa mtoto ila mtoto wake ndo aje kuwa muombezi wa dhambi zake. Ni aibu sana.
 
View attachment 3671359

Na bado tunasubiri atuombe michngo
 
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
And thats why today
To me yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina twalala
Oooh baby twalala
Aaaah baby if I close my eyes
Mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo
Pacha wangu mie
 
Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.

Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions, dopamine na sifa uchwara za washikaji dau huwa zinawafanya wa dhani wao ni wazuri kwenye kila angle.

Kajala kuonesha raw emotions mbele ya camera ni funzo kubwa sana kwa hawa vidampa wa mjini wanaodhani uzuri wa sura na makebo ndo gateway ya wao Kutoboa.
View attachment 3671359
Binafsi huwa napenda sana mwanamke anaye jua kuwa uzuri wa nje sio kigezo cha yeye kupendwa, anyetambua kuwa uzuri wa tabia na akili na hekima ni rasilimali isiyo koma kwa mwanaume. Wanawake type hii bahati mbaya huwa sio wazuri kwa nje, huwa ni wale ambao hawana option nyingine bali ku act vizuri na kuwa na guts za kujitegemea ili waweza kuwa na self accomplishment pasipo nguvu ya hela ya mwanaume.

Funzo analolitoa kajala la kusema ni kheri angerudisha muda nyuma akachagua kubadili maamuzi yake, ndo haya wanavyo fanya wasichana wa kileo, ambao pigo zao ni kubwa hata kumzidi yeye.

Hakuna high value men wa ku settle na kidampa asiye na akili, hakuna mtu wa kukaa na mwanamke asiye na vision ya aina yoyote kwenye maisha yake.

Laiti mwanamke angelitambua kuwa gateway ya yeye kuishi maisha ya furaha ni ndogo sana, asinge chezea usichana wake in the name of kuhongwa vigari na kutupiliwa mbali kama Takataka. Angelitambua amani ya kweli iko katika familia anayoijenga yeye mwenyewe

Ona Kazaa mtoto ila mtoto wake ndo aje kuwa muombezi wa dhambi zake. Ni aibu sana.
Hawakujifunza kwa Uwoya na Wema, mpaka Uwoya matajiri na Mapedejeee wote wa Mjini walimkimbiza akaanguki kwa Dogo janja
 
Si

Sio kwamba Hana Amani wala nini, ni PESA inaisha😆😆

Atawaibukia Wanyonge mitandaoni achangishe michango akale bata Dubai kama zamani.
Wajinga ndio waliwao anawapang😆
 
Hana hizo guts. Huwa wanasubiri kiwalambe wakkose pa kushika kabisa.

Kinacho muumiza kajala ni kuchezea usichana na kukosa familia, that's more painful than a car or money. Unakuwa lipweke la kutupwa
Si ana watoto? Mali na Nyumba?

Sisi makabwela wanatania " Tafuta Hela"

Nayeye atafute hela hizo gani zitaisha
 
Back
Top Bottom