Na bado tunasubiri atuombe michngoTena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.
Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions, dopamine na sifa uchwara za washikaji dau huwa zinawafanya wa dhani wao ni wazuri kwenye kila angle.
Kajala kuonesha raw emotions mbele ya camera ni funzo kubwa sana kwa hawa vidampa wa mjini wanaodhani uzuri wa sura na makebo ndo gateway ya wao Kutoboa.
View attachment 3671359
Binafsi huwa napenda sana mwanamke anaye jua kuwa uzuri wa nje sio kigezo cha yeye kupendwa, anyetambua kuwa uzuri wa tabia na akili na hekima ni rasilimali isiyo koma kwa mwanaume. Wanawake type hii bahati mbaya huwa sio wazuri kwa nje, huwa ni wale ambao hawana option nyingine bali ku act vizuri na kuwa na guts za kujitegemea ili waweza kuwa na self accomplishment pasipo nguvu ya hela ya mwanaume.
Funzo analolitoa kajala la kusema ni kheri angerudisha muda nyuma akachagua kubadili maamuzi yake, ndo haya wanavyo fanya wasichana wa kileo, ambao pigo zao ni kubwa hata kumzidi yeye.
Hakuna high value men wa ku settle na kidampa asiye na akili, hakuna mtu wa kukaa na mwanamke asiye na vision ya aina yoyote kwenye maisha yake.
Laiti mwanamke angelitambua kuwa gateway ya yeye kuishi maisha ya furaha ni ndogo sana, asinge chezea usichana wake in the name of kuhongwa vigari na kutupiliwa mbali kama Takataka. Angelitambua amani ya kweli iko katika familia anayoijenga yeye mwenyewe
Ona Kazaa mtoto ila mtoto wake ndo aje kuwa muombezi wa dhambi zake. Ni aibu sana.
Hana hizo guts. Huwa wanasubiri kiwalambe wakkose pa kushika kabisa.Na bado tunasubiri atuombe michngo
Hawakujifunza kwa Uwoya na Wema, mpaka Uwoya matajiri na Mapedejeee wote wa Mjini walimkimbiza akaanguki kwa Dogo janjaTena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.
Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions, dopamine na sifa uchwara za washikaji dau huwa zinawafanya wa dhani wao ni wazuri kwenye kila angle.
Kajala kuonesha raw emotions mbele ya camera ni funzo kubwa sana kwa hawa vidampa wa mjini wanaodhani uzuri wa sura na makebo ndo gateway ya wao Kutoboa.
View attachment 3671359
Binafsi huwa napenda sana mwanamke anaye jua kuwa uzuri wa nje sio kigezo cha yeye kupendwa, anyetambua kuwa uzuri wa tabia na akili na hekima ni rasilimali isiyo koma kwa mwanaume. Wanawake type hii bahati mbaya huwa sio wazuri kwa nje, huwa ni wale ambao hawana option nyingine bali ku act vizuri na kuwa na guts za kujitegemea ili waweza kuwa na self accomplishment pasipo nguvu ya hela ya mwanaume.
Funzo analolitoa kajala la kusema ni kheri angerudisha muda nyuma akachagua kubadili maamuzi yake, ndo haya wanavyo fanya wasichana wa kileo, ambao pigo zao ni kubwa hata kumzidi yeye.
Hakuna high value men wa ku settle na kidampa asiye na akili, hakuna mtu wa kukaa na mwanamke asiye na vision ya aina yoyote kwenye maisha yake.
Laiti mwanamke angelitambua kuwa gateway ya yeye kuishi maisha ya furaha ni ndogo sana, asinge chezea usichana wake in the name of kuhongwa vigari na kutupiliwa mbali kama Takataka. Angelitambua amani ya kweli iko katika familia anayoijenga yeye mwenyewe
Ona Kazaa mtoto ila mtoto wake ndo aje kuwa muombezi wa dhambi zake. Ni aibu sana.
Vp mkuu na wewe na ile ndoto yako ya umaarufu waendeleaje? wenzio wameanza kunyolewa, zako unatia nini...Wanakimbiza vitu superficial alafu kikiiwalamba wanakuja kujiliza
Sio kwamba Hana Amani wala nini, ni PESA inaisha😆😆Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.
Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions, dopamine na sifa uchwara za washikaji dau huwa zinawafanya wa dhani wao ni wazuri kwenye kila angle.
Kajala kuonesha raw emotions mbele ya camera ni funzo kubwa sana kwa hawa vidampa wa mjini wanaodhani uzuri wa sura na makebo ndo gateway ya wao Kutoboa.
View attachment 3671359
Binafsi huwa napenda sana mwanamke anaye jua kuwa uzuri wa nje sio kigezo cha yeye kupendwa, anyetambua kuwa uzuri wa tabia na akili na hekima ni rasilimali isiyo koma kwa mwanaume. Wanawake type hii bahati mbaya huwa sio wazuri kwa nje, huwa ni wale ambao hawana option nyingine bali ku act vizuri na kuwa na guts za kujitegemea ili waweza kuwa na self accomplishment pasipo nguvu ya hela ya mwanaume.
Funzo analolitoa kajala la kusema ni kheri angerudisha muda nyuma akachagua kubadili maamuzi yake, ndo haya wanavyo fanya wasichana wa kileo, ambao pigo zao ni kubwa hata kumzidi yeye.
Hakuna high value men wa ku settle na kidampa asiye na akili, hakuna mtu wa kukaa na mwanamke asiye na vision ya aina yoyote kwenye maisha yake.
Laiti mwanamke angelitambua kuwa gateway ya yeye kuishi maisha ya furaha ni ndogo sana, asinge chezea usichana wake in the name of kuhongwa vigari na kutupiliwa mbali kama Takataka. Angelitambua amani ya kweli iko katika familia anayoijenga yeye mwenyewe
Ona Kazaa mtoto ila mtoto wake ndo aje kuwa muombezi wa dhambi zake. Ni aibu sana.
Uliaga juzi.Kwani nili aga?
Si ana watoto? Mali na Nyumba?Hana hizo guts. Huwa wanasubiri kiwalambe wakkose pa kushika kabisa.
Kinacho muumiza kajala ni kuchezea usichana na kukosa familia, that's more painful than a car or money. Unakuwa lipweke la kutupwa
Atawapiga wengi tuKumbe?
Na wabongo wameshashtuka
We live once, ameifaidi dunia, Natalia kushukuruHakika muda Mali sana aisee ona kajala Ana ulikuwa muda… tulishasema fainali uzeeni ujui nani atakufaa
Time will tell us!Umaarufu wangu sio wa kijinga na kuishi maisha feki
Uko pale pale by 2040 Nitakuwa mtu maarufu duniani