Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Unaweza ukawa unazaa na una watoto 100 Mungu akiamua anawachukua wote 100 at the same time......Mungu awajalie wototo wanawake wote wanaopitia gumu hili!
 
Unaweza ukawa unazaa na una watoto 100 Mungu akiamua anawachukua wote 100 at the same time......Mungu awajalie wototo wanawake wote wanaopitia gumu hili!
Lakini huwezi kuitwa tasa ndo ushazaa hata kama wakifa
 
Binamu issue ni hivi, siku zote walikua wapi kumtaja masogange? why akamatwe baada y wema kumtaja? we all know issue ya masogange in SA, na ilishaisha ila wema kairudisha, wema hajatenda haki kwa msichana mwenzie ,kamuaribia
dah kweli dhana ya ulinzi shirikishi ngumu! kumbe inapaswa ukijua kitu unauchuna ili lisiwe bifu!!!
 
Na wewe tasa? utaisoma namba, nenda kafuge mbwa hko acha kupiga makelele
Kwan ww unajiona bora sana au huyo aliyekuumba anauwezo wakunyang'anya alivyokupa vyote hata kama una watoto 10 na ukajikuta umebaki mkiwa kuliko yule tasa usipende kujikweza ndugu hapa dunian naamini huyu tunaye muabudu awez kukuacha kwa dhiaka humfanyiazo biadamu mwenzio
 
Na wewe tasa? utaisoma namba, nenda kafuge mbwa hko acha kupiga makelele
Mm tasa ww uliye nao mungu kakurehemia nashukuru mungu kwakukujalia ww na kutunyima sisi pamoja na yote bado mikono yetu hakuifunga ikawa tasa inafanya kazi na kuzaa matunda naomba na ww kizazi chako kibarikiwe tuache matasa na utasa wetu ambao umeuthibitisha ww lkn siyo yy aliye tuomba amesema
 
Kumbe na wewe tasa? Eeh makubwa, tatizo ujana wenu mlikaanga sana mayai inawacost
 
Mama wa watoto wawili, kingine?
Samahani sana, nimekuwa nikiwaza kuwa wewe ni baba, kuanzia sasa nitaanza kukuelewa, maana najua vichwa vya wanawake haswa wanapojadili kuhusu mwanamke mwenzao. Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
 
uwoya ndo nani kwani????????//
ia pia mbona kazunguka sanaaaaaaaa kufikisha ujumbe?????
mnafiki tu uyo mdada....
wema kasema direct mbna yeye kazungukaa sanaa..anamuogopa wema huyo...mnafiki tu
 
uwoya ndo nani kwani????????//
ia pia mbona kazunguka sanaaaaaaaa kufikisha ujumbe?????
mnafiki tu uyo mdada....
wema kasema direct mbna yeye kazungukaa sanaa..anamuogopa wema huyo...mnafiki tu
Anamuogopa kwa lipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…