ngoma ya ukae
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 611
- 618
Ukiona hivyo jua waligongana mahali hawa, enzi zile za mapesa kila kona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ipake rangi iwe nzuri kama yako
Unaweza ukawa unazaa na una watoto 100 Mungu akiamua anawachukua wote 100 at the same time......Mungu awajalie wototo wanawake wote wanaopitia gumu hili!Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
dah kweli dhana ya ulinzi shirikishi ngumu! kumbe inapaswa ukijua kitu unauchuna ili lisiwe bifu!!!Binamu issue ni hivi, siku zote walikua wapi kumtaja masogange? why akamatwe baada y wema kumtaja? we all know issue ya masogange in SA, na ilishaisha ila wema kairudisha, wema hajatenda haki kwa msichana mwenzie ,kamuaribia
Kwan ww unajiona bora sana au huyo aliyekuumba anauwezo wakunyang'anya alivyokupa vyote hata kama una watoto 10 na ukajikuta umebaki mkiwa kuliko yule tasa usipende kujikweza ndugu hapa dunian naamini huyu tunaye muabudu awez kukuacha kwa dhiaka humfanyiazo biadamu mwenzioNa wewe tasa? utaisoma namba, nenda kafuge mbwa hko acha kupiga makelele
Mm tasa ww uliye nao mungu kakurehemia nashukuru mungu kwakukujalia ww na kutunyima sisi pamoja na yote bado mikono yetu hakuifunga ikawa tasa inafanya kazi na kuzaa matunda naomba na ww kizazi chako kibarikiwe tuache matasa na utasa wetu ambao umeuthibitisha ww lkn siyo yy aliye tuomba amesemaNa wewe tasa? utaisoma namba, nenda kafuge mbwa hko acha kupiga makelele
Kumbe na wewe tasa? Eeh makubwa, tatizo ujana wenu mlikaanga sana mayai inawacostMm tasa ww uliye nao mungu kakurehemia nashukuru mungu kwakukujalia ww na kutunyima sisi pamoja na yote bado mikono yetu hakuifunga ikawa tasa inafanya kazi na kuzaa matunda naomba na ww kizazi chako kibarikiwe tuache matasa na utasa wetu ambao umeuthibitisha ww lkn siyo yy aliye tuomba amesema
Samahani sana, nimekuwa nikiwaza kuwa wewe ni baba, kuanzia sasa nitaanza kukuelewa, maana najua vichwa vya wanawake haswa wanapojadili kuhusu mwanamke mwenzao. Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.Mama wa watoto wawili, kingine?
Thank you.Una lingine? Haya kachambe uvae pichu ukalale
huwezi ngoma kuicheza peke yako kama inataka surpot wema yuko sahihiHuwa natamanigi kujua we ni wa jinsia ipi kati ya tatu tulizonazo
pardon please!huwezi ngoma kuicheza peke yako kama inataka surpot wema yuko sahihi