Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Kustay relevant kwenye spotlight ni kazi sana....
Na huko Bongo muvi wamejaa talentless hoes.
Uwoya na Wema wote ni wajasiliamwili difference mmoja haja experience side effects za abortion.
Hawa watu wana hitaji rehabilitation.
 
Jinsia ya warumi nayo imegonga headlines kwenye uzii huu!! JF stress free!!!!
 
JE, NI NANI ANASEMWA HAPA?

FROM @ireneuwoya8 Binaadamu Bana watu waajabu sana...hiv Kwani Uwez kucheza sebene lako mwenyewe na kutafuta namna ya kulimaliza? Mziki utunge wewe alafu step Za mdundo Unataka akuchezeee mwenzako? Kama uliona nyimbo uliotunga imekuwa ngumu Kwanin usiombe msaada ili ufundishwe kucheza? Machoni kama mtu lakin moyoni ni nyoka... Tena wale nyoka wanaopatika mkoani kwetu tabora... Wakisimama wanavutia Kweli Kweli lakini wakikurukia your dead and gone... Ila Usijal love... Ndo Binaadamu Bana... Ndodunia tunayoishi...
 

Attachments

  • 16585105_1067257470085110_5102459690684514304_n.jpg
    93.2 KB · Views: 44
Masogange alihisiwa/ alishukiwa na hakuhukumiwa na hakukutwa na hatia. Nani anamhukumu tena? Mbona R1 anatajwa sana lakini hahojiwi hata siku moja?
ebu tushangae wote binamu, kuna watu wachawi.
 
Uwezo wa kujifungua mtoto ni majaariwa ya Mwenyezi Mungu. Mtukaneni mengine yote ila huenda na yeye hapendi ugumba ule.
alivyokua anamtukana tiffah ? au mnajisahaulisha, kama ukiwaambia watoto w wenzio wabaya mungu ata hyo mbaya hakupi
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
ushetani wake wema nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kuzaa majaliwa
 
Si Wema aliyefanya akamatwe, tuwe wa kweli.

Kama Wema alifanya akamatwe ina maana Wema kasema kweli kuhusu Masogange na Makonda?

Na alivyoshikwa SA, ni Wema alimchomea?

Masogange kama anataka kujisafisha aseme kweli tu.
Binamu issue ni hivi, siku zote walikua wapi kumtaja masogange? why akamatwe baada y wema kumtaja? we all know issue ya masogange in SA, na ilishaisha ila wema kairudisha, wema hajatenda haki kwa msichana mwenzie ,kamuaribia
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] acha hizo binaaaaa.....

makonda si alimlinda kwa kua demu wakeeee

hureeeeee wemaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…