Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anakunywa madawa... acha tu na yeye akamatwe.Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mkuu Uwe na huruma aseeKumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Sikuhiz kuna male,female na others(specify)Huwa natamanigi kujua we ni wa jinsia ipi kati ya tatu tulizonazo
Your dead..?..[emoji124] what you did hahahhhaha subiri hapohapoYour dead??
Wewe umezaa wangapi?Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Tunapenda sana kutetea uwongo sjui kwanini ........Unakosea Warumi. Usimtakane mtu au Kumkejeli mtu kwa matatizo aliyonayo. Nani ameprove kuwa hazai? Hayo ni mambo yunayoyaona sisi Wanadamu. Mungu ndiyo mwamuzi wa yote. Kila jambo linaenda na Muda
.. ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Wewe una zaaa?Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
teh tehh!Hili ni janga la taifa mkuu kuanzia kule kileleni.
usimdhihaki mtu namna hiyo, mwenzio akiona hili akimshukuru Mungu tuu hujui nini litakuja kwenye kizaz chako. mwenzio kanyimwa mtoto huenda na ww kupitia kumdhihaki kwako Mungu akawapa utindio wa ubongo kizaz chako chote alafu akawapa na umri mrefu kuliko kawaida. Mwenyezi Mungu atupe kauli thabiti inshaallahKumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Ni aibu sana kujifanya mjuaji huku vitu vidogo mno vinakushinda!! Anatia huruma!!Hili ni janga la taifa mkuu kuanzia kule kileleni.
we dada una chuki binafsi na Wema, zaidi umeenda mbali kwa kwa kuingilia mipango ya Maulana. God iz wochingi yuKumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Muwe munapunguza maneno makali akupenda kuwa ivyo,Unakosea Warumi. Usimtakane mtu au Kumkejeli mtu kwa matatizo aliyonayo. Nani ameprove kuwa hazai? Hayo ni mambo yunayoyaona sisi Wanadamu. Mungu ndiyo mwamuzi wa yote. Kila jambo linaenda na Muda