Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Mie hapa napita tu
Ila tetesi nasikia mkemia mkuu hajamaliza vipimo vyake kwa masogange amewambia wamwachie kwake mwaka kesho atawapa jibu kama anatumia au laa
 
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kama anakunywa madawa... acha tu na yeye akamatwe.
Hakuna double standard.
Sasa tunataka kujua huyo basha wake aliyempangia nyumba kama naye anabwia.
Naye tutamkamata!!
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Wewe una zaaa?
Kwa majibu yako unanaonekana kuwa wewe ni shetan mkubwa... then huyo uliyemtaja huenda akawasaidiz wako
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
usimdhihaki mtu namna hiyo, mwenzio akiona hili akimshukuru Mungu tuu hujui nini litakuja kwenye kizaz chako. mwenzio kanyimwa mtoto huenda na ww kupitia kumdhihaki kwako Mungu akawapa utindio wa ubongo kizaz chako chote alafu akawapa na umri mrefu kuliko kawaida. Mwenyezi Mungu atupe kauli thabiti inshaallah
 
Maneno haya, "...Your dead and gone" Faiza fox yanamhusu.
 
Unakosea Warumi. Usimtakane mtu au Kumkejeli mtu kwa matatizo aliyonayo. Nani ameprove kuwa hazai? Hayo ni mambo yunayoyaona sisi Wanadamu. Mungu ndiyo mwamuzi wa yote. Kila jambo linaenda na Muda
Muwe munapunguza maneno makali akupenda kuwa ivyo,
 
Back
Top Bottom