Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.
0d4af2ad2c1425946e216485b5739984.jpg
SEMA ALIE KUTUMA oWOYA MKUU AMESHA AIBIKA BATCH 4 AMELIKOSA YUPOOFISINI ANAANGALI UZURI WA OFISI NA GARI AMBAO MUDA IO MREFU HATOVIPATA TULIA WATU WAPO JOB
 
Warumi we ndo makondakta?si mlitaja kutajana?sasa inakuuma nini?wema kanyanyaswa na yule mwenye tak.o kubwa ulitaka atulie tu?mwambie huyo uwoya a.k.a shimo kua movie ndio imeanza
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Nilikuwa sijajua kama warumi ni mh.mkuu wa mkoa! Tatizo lako aisee unafanyia kazi mno udaku na udakuzi,mbaya zaidi unajishushia thamani yako kwa wanaokutambua.
 
Mambo mengine muwe mnamalizia huko huko ujinga Wa kijinga kiasi hiki huku sio pake
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Mkuu we ke?

Back
Top Bottom