Issue ya Moo italipuka soon

Issue ya Moo italipuka soon

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Ukweli anachokifanya Moo ni kuhakikisha watu ambao wanaweza leta upinzani wa yeye kufanya maamuzi ndani ya Simba waondoke wabaki mafala ambao kila anachosema wanaitika yes
Nkwambi alihoji moo analipa kias gan kiweka matangazo kwenye jezi akawekewa zengwe

Mo anasema anatoa bil 5 kila mwaka
Iv mapato yanaenda wap?
Pesa ya wadhamin inaenda wap?
Mauzo ya jezi yanaenda wap?
Hela ya caf inaenda wap?

Yanga juzi wametoa mapato na matumizi inaonekana wamepata faida japo ni kdg

Lini Moo atatoa mapato na matimizi ili tuone kweli anatoaga hela simba na tujue analipa kias gan kwa matangazo yake kwenye jezi

Moo nakwambia endelea kuona watu mafala wanakuvumilia sababu timu inafanya vzr ila ikikosea Simba ikayumba kwenye matokeo ndo utawajua Watanzania na utaeleza ukweli

Yanga nwashaur msikubali mwekezaji mmoja kuwen nao wawili au watatu ili kwenye maamuzi asifanye mmoja kuwe na kuhojiana

Simba wangekuwwpo wawekezaji wawili tungejua mapato na matumizi/ tungejua moo analipa kias gan kwenye matangazo na babra asingeifanya simba ya moo

Nimemaliza ila kaa mjua simba ni bomu ambalo halijalipuka
 
IMG_3981.jpg

Pole sana
 
Nendeni mkashitaki CAS ili Mo anyang'anywe hizo hisa. Uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu sana kwa Utopolo. Eti leo hii Haji amekuwa kipenzi cha watopolo
 
Azam na utopolo mnateseka sana, yani bomu lilipuke leo hii mchakato umeshakamilika? Yani huyo mropokaji ndo mnamuaminia siraha yenu ya mwisho?

Huyo ata trend wiki hii baada ya hapo atapotea
Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweli
 
Tanzania bans inafurahisha sana manara aliyekua kipenzi na source muhimu ya mashabiki wa simba kwa kila asemacho leo anaonekana mwehu

Acha ccm itawale milele
 
Yaani mie niache kuhuzunika miamala, tozo kupanda nihangaike na simba kuibiwa na mo, kwa mashabiki muhimu ni makombe hapo ndio unawaweza ila timu likiwa bovu ndio tabu zinapoanza
 
Mtu atoe cash b20 hafu we ujivunie mdomo tu hilo haliwezekani. Tupo na mo afanye anavyotaka si tunataka makombe na furaha tu. Hakuna team inagawa hela kwa mashabiki.

Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
 
Tanzania bans inafurahisha sana manara aliyekua kipenzi na source muhimu ya mashabiki wa simba kwa kila asemacho leo anaonekana mwehu

Acha ccm itawale milele
Ukitaka kumteka mtanzania uwe na pesa tu,

Utawazoa wote, wanawake kwa wanaume

Hawatosikia chechote hadi utakapoishiwa

Ukiishiwa sasaa...

Utapigwa matukio hadi ujinyonge kwa hasira...

Kuna hoja alizitoa Mzee kiromoni nimeanza kuzielewa sasa.
 
Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.
Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?
Mbona binadamu hatuna shukrani? Hivi bila uwepo wa huyo Mo, hii Simba ya leo ingekuwa kama ilivyo leo?
 
Back
Top Bottom