Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

Bado tunaendelea kuchanga, wiki kama 1 iliyopita CEO wetu alituambia mchango uliopatikana ni milioni 60 tuendelee kuchanga kupitia NANI ZAIDI SIMBA Vs YANGA na mpaka sasa kwenye nani zaidi tumeshachanga milioni 60.9, ukijumlisha jumla tumechanga milioni 120.9
 
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.

Huu sasa ni uhuni.
Wewe huku kwenye soka hapakufai, nashauri uendelee tu kutuletea habari za Ukraine na Russia
 
ikifika 200m nipeni niwaletee mchanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…