Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

kamwa10

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
84
Reaction score
20
Ist imepata ajali inauzwa
Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
 
Kwa bei iyo.Haiwezi Kurejesha pesa kwa mtu w kukata magari. Sio faida
 
Sasa mbona kwa usajili huo wa C ikiwa nzima unapata hata kwa milioni 5! Utauza kweli kwa bei hiyo?
 
Mchawi namba mzee, kama upo tayari kula mil 1, njoo PM tuyajenge.
Kama engine haijaguswa as ulivyosema nitakuongeza 500k.
 
Back
Top Bottom