connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
KiajeHaya magari yalishashindikana bongo
Beforward ina tatizo gan?Mbn picha ni ya beforwad?
Umesema Ni ya mtu privateBeforward ina tatizo gan?
Ungemuuliza akaunti ya kudeposit hiyo pesa ndo ungejua kama si ya kampuni. Beforward Wana mawakala. Ila malipo yote yanafanyika kwenye akaunti ya beforward tuUmesema Ni ya mtu private
Intercooler --- na turbo ipo humoHiyo pua ni ya Turbo au
Skuizi beforwad wanatupa magari?Ungemuuliza akaunti ya kudeposit hiyo pesa ndo ungejua kama si ya kampuni. Beforward Wana mawakala. Ila malipo yote yanafanyika kwenye akaunti ya beforward tu
Bro ni kwamva hujapata fundi wake, gari matata sana hii. Ninayo moja na ninaenjy..Haya magari yalishashindikana bongo
🤣🤣🤣Kuna harufu mbaya ya utapeli naisikia kwny Huu Uzi