Car4Sale ISUZU Bighorn inatupwa!

Car4Sale ISUZU Bighorn inatupwa!

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
ISUZU Bighorn ipo Japan wewe unapaswa kulipia freight 1,000 USD na pesa ya wine 260 USD kwa mmiliki. 3050cc, mileage 239,000 Kms.

Year of manufacturing 1996

BM014990_310011.jpg


BM014990_fc903e.jpg
 
Ungemuuliza akaunti ya kudeposit hiyo pesa ndo ungejua kama si ya kampuni. Beforward Wana mawakala. Ila malipo yote yanafanyika kwenye akaunti ya beforward tu
Skuizi beforwad wanatupa magari?
 
Naiona Wazi Sarakasi Iliyopigwa Bungeni Imehamia Huku
Atapigwa Mtu Kofi Moja Ataona Nyota Tu
 
Mkuu tupe experience yako tuachane na kasumba za Toyota tu kila siku. Ninachojua ni moja ya gari ngumu kutokea a.k.a roho ya paka.

In terms of;
1. Reliability / Spare parts
2. Offroad / Onroad capabilities
3. Fuel consumption.
 
Back
Top Bottom