mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Dec 9, 2011 #1 jamani naishi na kufanya kazi mtwara, nahiaji kusoma IT ktk muda wa jioni baada ya kutoka kazini, wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda tutakaokubaliana? nimegundua sasa tupo ktk cyber world, nisaidieni tafadhali
jamani naishi na kufanya kazi mtwara, nahiaji kusoma IT ktk muda wa jioni baada ya kutoka kazini, wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda tutakaokubaliana? nimegundua sasa tupo ktk cyber world, nisaidieni tafadhali
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 283 Dec 9, 2011 #2 mmmmmm....... nenda VETA. UMENIPATA??
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Dec 9, 2011 #3 Chukua kozi online!
J janejean Member Joined Dec 8, 2011 Posts 89 Reaction score 23 Dec 10, 2011 #4 IT au computer application?
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Dec 12, 2011 Thread starter #5 janejean said: IT au computer application? Click to expand... INFO TEC ndiyo nahitaji