mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 257
jamani naishi na kufanya kazi mtwara, nahiaji kusoma IT ktk muda wa jioni baada ya kutoka kazini, wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda tutakaokubaliana? nimegundua sasa tupo ktk cyber world, nisaidieni tafadhali