mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
😀😀😀 yes your english she is improving.Yes I am Ras Simba pupils. Is my English improving? I am journalist too.
Njoo chukua set ya vitabu vya English mzee baba utakuwa fit ki english....safari inatia matumaini!
Hivi ni mimi ndo sijaelewa hiki kidhungu au niaje nieje.
Katika kusoma lugha kuna ishu inaitwa 'Error' na 'Mistake' mtu anayeijua lugha akikosea tunasema ni 'Mistake' asiyeijua akikosea ni 'Error'Ras Simba student on English practice!!
Mimi nimesema sijaelewa, kutokuelewa kwangu hakumaanishi namzidoa mleta mada. Mbona viingereza vya kina nyani ngabu huwa hatuelewi pia.Katika kusoma lugha kuna ishu inaitwa 'Error' na 'Mistake' mtu anayeijua lugha akikosea tunasema ni 'Mistake' asiyeijua akikosea ni 'Error'
Kwa makosa ya jamaa na namna ya uandishi kunatosha kujua anajifunza. Nyinyi ambao mmeelewa kua kuna makosa hamkua na sababu ya hizi koments, kwasababu kiukweli ingawa kakosea ila ujumbe wake unaeleweka.
Usipoelewa na wewe upo kwenye level ya 'Error'
Tujifunze kupeana moyo.
Usingefuta, ujumbe wako unaeleweka vizuri. Pia humu humjui mtu ndiyo ungekua unafanyia practice humu humu.
Usingefuta, ujumbe wako unaeleweka vizuri. Pia humu humjui mtu ndiyo ungekua unafanyia practice humu humu.
Ila a female school, unaelewa! Safi sana.It happen today sikielewi hicho kimombo. Bus conducter pia sikielewi hicho kimombo.
thank you omeraMimi nimesema sijaelewa, kutokuelewa kwangu hakumaanishi namzidoa mleta mada. Mbona viingereza vya kina nyani ngabu huwa hatuelewi pia.
keep on practising, u'll be great!
Dunia ni duaraKwani lazima??