Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh mo tenaJamani, uwiiiii, kumbe! Kwa hiyo baada ya hapo MO aliweza kuongea na waandishi wa habari? nimependa hii thread yako ulivyoelezea jinsi MO alivyopatikana!!!!!
Mi navihitaji sana mkuu..Njoo chukua set ya vitabu vya English mzee baba utakuwa fit ki english....safari inatia matumaini!
Umeongea kikubwa sana mkuuKatika kusoma lugha kuna ishu inaitwa 'Error' na 'Mistake' mtu anayeijua lugha akikosea tunasema ni 'Mistake' asiyeijua akikosea ni 'Error'
Kwa makosa ya jamaa na namna ya uandishi kunatosha kujua anajifunza. Nyinyi ambao mmeelewa kua kuna makosa hamkua na sababu ya hizi koments, kwasababu kiukweli ingawa kakosea ila ujumbe wake unaeleweka.
Usipoelewa na wewe upo kwenye level ya 'Error'
Tujifunze kupeana moyo.
Hii sio barua ya kazi au executive summary. Nothing official, so it is okHivi ni mimi ndo sijaelewa hiki kidhungu au niaje nieje.
Kwa kweli nilikosea ..aliyenyanyaswa ni mwalimu wa kike mdogo mdogo, hivi... alikuwa na kitambulisho Cha mwalimu, wale walimu wa dar salaam wanavijua.title ili bidi iwe hivi"today it has happened a stupid bus conductor insulted a female student at tegeta nyuki ubungo 2000" ila kwa kweli upo kwenye nafasi nzuri na umeeleweka kwa kweli thumb up never give up you will be good at this language ongeza bidii unaweza kwa kweli wengine salam tu shida