It happen today a stupid bus conductor insulted a female school Tegeta Nyuki Ubungo2000

Jamani, uwiiiii, kumbe! Kwa hiyo baada ya hapo MO aliweza kuongea na waandishi wa habari? nimependa hii thread yako ulivyoelezea jinsi MO alivyopatikana!!!!!
 
Umeongea kikubwa sana mkuu
 
title ili bidi iwe hivi"today it has happened a stupid bus conductor insulted a female student at tegeta nyuki ubungo 2000" ila kwa kweli upo kwenye nafasi nzuri na umeeleweka kwa kweli thumb up never give up you will be good at this language ongeza bidii unaweza kwa kweli wengine salam tu shida
 
Halaf anakuja mtu Ukute hata uingereza hajawahi kufika "u know*
 
Kumpa binadamu mwenzio moyo...au hata kurekebisha kistaarabu Ni kipaji na wanacho wachache Sana. Be blessed
 
Kwa kweli nilikosea ..aliyenyanyaswa ni mwalimu wa kike mdogo mdogo, hivi... alikuwa na kitambulisho Cha mwalimu, wale walimu wa dar salaam wanavijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…