IT ilivyokuwa msaada mkubwa kwangu - Read and get motivated

H
Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama.

Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015 nikiwa nimemaliza Diploma ya kilimo napambania ajira bila mafanikio nilipost hapa JF kuwa nafanya development ya mobile apps kwa watu ambao wanamiliki blog na wanapenda kutengenezewa mobile apps za blog zao, baada ya siku chache nikapokea simu ya moja ya iliyokuwa miongoni mwa blog kubwa za michezo, hapo ndio ilikuwa deal la kwanza ambalo nilipata kutokana na kujifunza apps dev kwa njia ngumu (hapa napenda kusema kuwa JF ya sasa sio ile ya zamani, hapo zamani JF ilikuwa rahisi kupost kitu na kupata solution, JF ya leo watu wamejaa masihala mengi). Nilifanya ile kazi kwa bei ya 500,000 ambayo ilikuja kwa wakati ambao nilikuwa sina hela na ninapaswa kuhudhuria interview ya kazi so ujuzi wa IT ulinibeba sana maana bila hivyo nisingeweza kabisa kwenda kwenye hiyo interview na ashukuriwe Mungu niliipata ile kazi na moja ya vitu ambayo vilinibeba ni ku_prove uwezo wangu kupitia kazi niliyofanya ya kutengeneza app ya blog hiyo iliyokuwa maarufu kwa sports.

Baada ya kuanza kazi 2016, nilipitia kipingi kigumu kwa kuwa mshahara ulikuwa haukidhi mahitaji yangu yote. katika kujitafuta zaidi nikaja na app iliyojulikana kama OnlineTV app ambayo naamini wengi baadhi yenu humu wamewahi kuwa watumiaji wa ile app kati ya December 2016 hadi 2017 mwishoni ambayo ilikuwa miongoni mwa trending apps za kutazama mpira. Kiukweli ile app ilikuwa msaada mkubwa kuniwezesha kiuchumi maana nifanya monetization ya matangazo ya Google so nikawa napata wastani wa 2M-2.5M kwa mwezi kutoka kwenye app plus mshahara wa kazini nikawa nafunga hesabu nzuri kila mwezi. Lakini baadaye mambo hayakwenda sawa, nilifunga operation za OnlineTV app.

Baada ya hapo, nikakomaa na kazi tuu ya ajira, lakini 2023 ajira ikaisha so nikaamua kurudi tena rasmi kwenye njia yangu ya kipato ambayo hunikwamua kila ninapo kwama (IT). Hapo nikaja na app ya kuwasaidia wafanya biashara wadogo na wakati kusimamia taarifa za biashara zao ambayo wanailipia kila mwezi. Hivi sasa imepita miezi 6 tangu nimalize ajira na app hii ina miezi 3 tuu ila imekuwa ikinipa uhakika wa maisha na wakati huo huo imekuwa msaada kwa wafanya biashara ndani na nje ya Tanzania. Sasa nimeisajili kama biashara rasmi na nimeweka wafanyazi 2 kusaidia customer care na kwa level ambayo nimefika sitaki kazi tena maana IT imekuwa njia sahihi ya mafanikio kwangu.

Napenda kuwashauri vijana wengine ambao mko interested na IT Do it with all your heart, believe in the solution you build, and consistency is the key to success. Online kuna pesa nyingi sana zinakusubiri wewe.

Ahsanteni.
Ebu msaidie bro Maxence Melo kurekebisha hii ya kwake mpya coz hata siielewi
 
Mkuu hii story yko n Nzur sana. Lakn ungeandika kwenye Story of Changes ingekua poa zaid. Cz inakuelezea ulipotoka na unapokwenda. Pia inaenda kuwapa vijana weng nguvu ya kupamabna zaid
 
Hongera sana kwa maamuzi uliyofanya ya kujifunza code na app zako kufanya vizuri katika soko. Inatia faraja sana. Kama wewe tu, pia nilijifunza Frontend development online kupitia Udemy na hizo site zingine mwaka 2022, na naona maslahi yapo ya kutosha.

Kwa hawa wengine wanaopenda pia kuingia kwenye IT, je app development ni mlango mwepesi kwa kuanzia? Mimi nilipitia Frontend. Ulikuwa ni mlango mwepesi.
Nilianza na frontend pia.
 
Acha
Ujakutana na steji IT ila hii ya hapa ni ya kawaida tu hongera.
ukienda USA ndio utaona IT yeru ni candycrash
Fikra potofu, hao marekani wenyewe watu kibao hawaendi class kusoma IT na wanafanya kazi kubwa tu. IT ni field unajifunza daily.
 
Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama.

Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015 nikiwa nimemaliza Diploma ya kilimo napambania ajira bila mafanikio nilipost hapa JF kuwa nafanya development ya mobile apps kwa watu ambao wanamiliki blog na wanapenda kutengenezewa mobile apps za blog zao, baada ya siku chache nikapokea simu ya moja ya iliyokuwa miongoni mwa blog kubwa za michezo, hapo ndio ilikuwa deal la kwanza ambalo nilipata kutokana na kujifunza apps dev kwa njia ngumu (hapa napenda kusema kuwa JF ya sasa sio ile ya zamani, hapo zamani JF ilikuwa rahisi kupost kitu na kupata solution, JF ya leo watu wamejaa masihala mengi). Nilifanya ile kazi kwa bei ya 500,000 ambayo ilikuja kwa wakati ambao nilikuwa sina hela na ninapaswa kuhudhuria interview ya kazi so ujuzi wa IT ulinibeba sana maana bila hivyo nisingeweza kabisa kwenda kwenye hiyo interview na ashukuriwe Mungu niliipata ile kazi na moja ya vitu ambayo vilinibeba ni ku_prove uwezo wangu kupitia kazi niliyofanya ya kutengeneza app ya blog hiyo iliyokuwa maarufu kwa sports.

Baada ya kuanza kazi 2016, nilipitia kipingi kigumu kwa kuwa mshahara ulikuwa haukidhi mahitaji yangu yote. katika kujitafuta zaidi nikaja na app iliyojulikana kama OnlineTV app ambayo naamini wengi baadhi yenu humu wamewahi kuwa watumiaji wa ile app kati ya December 2016 hadi 2017 mwishoni ambayo ilikuwa miongoni mwa trending apps za kutazama mpira. Kiukweli ile app ilikuwa msaada mkubwa kuniwezesha kiuchumi maana nifanya monetization ya matangazo ya Google so nikawa napata wastani wa 2M-2.5M kwa mwezi kutoka kwenye app plus mshahara wa kazini nikawa nafunga hesabu nzuri kila mwezi. Lakini baadaye mambo hayakwenda sawa, nilifunga operation za OnlineTV app.

Baada ya hapo, nikakomaa na kazi tuu ya ajira, lakini 2023 ajira ikaisha so nikaamua kurudi tena rasmi kwenye njia yangu ya kipato ambayo hunikwamua kila ninapo kwama (IT). Hapo nikaja na app ya kuwasaidia wafanya biashara wadogo na wakati kusimamia taarifa za biashara zao ambayo wanailipia kila mwezi. Hivi sasa imepita miezi 6 tangu nimalize ajira na app hii ina miezi 3 tuu ila imekuwa ikinipa uhakika wa maisha na wakati huo huo imekuwa msaada kwa wafanya biashara ndani na nje ya Tanzania. Sasa nimeisajili kama biashara rasmi na nimeweka wafanyazi 2 kusaidia customer care na kwa level ambayo nimefika sitaki kazi tena maana IT imekuwa njia sahihi ya mafanikio kwangu.

Napenda kuwashauri vijana wengine ambao mko interested na IT Do it with all your heart, believe in the solution you build, and consistency is the key to success. Online kuna pesa nyingi sana zinakusubiri wewe.

Ahsanteni.
Naomba no yako tutafutane maana hata Mimi nimeanza na flutter sahiz napenda Sana au tuchekiane 0624 443992 IPO na watsapp....naomba tutafutane nataka tuorganise nakufanya project kubwa pamoja
 
Back
Top Bottom