It is called ‘subterfuge’

Sasa hii ndo english iliyonyooka.

Jiwe angebahatika kucharaza ngeli kama hii angetusumbua sana na safari za nje.

Lakini thubutu kaamua kubaki nchini hapahapa, ngeli mgogoro!

Wajameni ngeli muhimu!
Mimi naanza kushawishika kuwa Magufuli anaogopa kwenda nje ya Afrika kwa sababu anajua haimudu vizuri lugha ya Kiingereza.

Maana nje ya Afrika itakuwa ngumu kwa yeye kuzungumza Kiswahili.

Lakini ndani ya Afrika anaweza kuzuga kuwa kwa kuongea Kiswahili, anakuwa anaienzi lugha hiyo.

Deep down naamini hata yeye anajua kuwa Kiingereza hakimudu vizuri.
 

Yes, inferiority complex.

Atafanya kila kitu hata kama ni to the extreme ili kuficha udhaifu wake.

Ana hofu kuwa counterparts wake watamchukuliaje?

Pia hayuko well versed kwenye international affairs, social-economic dynamics za dunia hii, sasa akipigwa maswali ya angle hizo anaweza kubaki anang'aang'aa macho tu, Ndiyo maana anaona bora lawama kuliko fedheha ajikalie tu nyumbani.
 
Nadhan umeanza kumchokoza na bahati nzur anakujua mpk kwenu,mwenyew ameshasema hajaribiwi
 
kingreza kama cha mtu "aliyeutwika!!"
 
What Lissu is doing is one way to awaken the people na akirudi kwenye kilinge cha kampeni isiwe tabu.
 
..Yap!!

..You said it, and he was at Mlimani City today.

🤣 🤣
Exactly!

Ila hii serikali ya CCM haina kabisa weledi.

Sasa hivi Lissu anapiga kampeni bila kupiga kampeni.

Maana hahitaji kusimama jukwaani na kuongea na kipaza sauti.

Anachohitaji kufanya ni kwenda sehemu tofauti tofauti kujichanganya na watu, kitu ambacho ni kampeni vilevile.
 
Mfundishe lugha mgombea wetu c6cm tutakupa cheo cha ubalozi huko
 

..Kweli.

..Na wanavyomuandama wanachafuka kwa kuonekana wanaisaidia CCM.

..Vilevile haonyeshi kutikisika kutokana na vitisho wanavyompa, na hiyo inamuongezea umaarufu.

..All in all,nadhani kampeni hizi zilihitaji mgombea kama TL, kwasababu wagombea wengine wote wako too submissive kwa CCM.

..Wagombea wangekuwa ni Lazaro Nyalandu, Bernard Membe, Prof.Lipumba, John Shibuda, ...wananchi wasingekuwa na interest na kampeni za mwaka huu.
 
Thank you for the free lessons on the meaning behind that song.
 
First positive "thing" from you about TAL
 
Lissu kabadili kabisa kampeni za urais.

Btw, Membe yuko wapi? Bado anagombea?
 
Angekuwa na nia ya kukijua angeshakijua

Mondi aliweza chini ya ualimu wa Wema Sepetu, JPM angemtumia BWM hii miaka minne angeshakijua
 
Kama bwana Lissu atapita hapa basi namshauri kesho au keshokutwa aende kwenye baa mbili au tatu zinazobamba kwa sasa akanywe bia mbili tatu.

Anywe tu bia. Lakini asile chochote....
Asisahau watu wa makamera na pia kutanguliza wafuasi wake kwenye baa hizo
 
Lissu kabadili kabisa kampeni za urais.

Btw, Membe yuko wapi? Bado anagombea?

..Membe has learned the hard way that running for President in this country is not as easy as he had thought.

..I am one of those who believe that ppl need to join the opposition parties at a young age.

..It is true that Membe was mistreated by CCM, but I dont think that can be compared to what Mbowe, Zitto, Maalim Seif, and others in the opposition, have been subjected to by the police, tume, and the govt'.

..Membe alitakiwa astaafu siasa na siyo kujiunga na upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…