Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Nipo hapa na akina Alexander mahone Michael scoffield
Nimewaonesha huu uzi wanacheeka
Sasa sijui wanacheka nn
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Big noo!!! Period.It was worth the wait kusema kweli.
Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah.
Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni series bora ya muongo huu.