It is fair to say kuwa Money Heist is one of the best kama sio the best series of the decade?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
It was worth the wait kusema kweli.

Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah.

Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni series bora ya muongo huu.
 
Ni series nzuri ila kusema ni best kwenye hii decade ni a bit of a stretch
 
It was worth the wait kusema kweli.

Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah.

Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni series bora ya muongo huu.
Big noo!!! Period.
 
Back
Top Bottom