It is stupid to compare Mwanza to Mombasa

Mombasa ilinganishwe na Dar ,nje ya hapo hakuna mji mwingine Tzn wa kusogeza pua yake kwa Mombasa

Nawashangaa wakenya mnajisumbua,hizi picha mungeweka kula Dar vs Mombasa ndio zinge make sense sio kujiabisha kwa kubishana na mataga waliojaa upuuzi wakati ukweli wanaujua.Mwanza ni takataka tuu labda ilinganishe na Kisii huko
 
Tzn tungekuwa hata na mji mwingine japo size ya Mombasa ingeleta maana sana sasa hakuna kitu na bado wanazidi kuijenga Dar,huwezi sikia mtu anatoka Mikoani anataka kuhamia Mji mwingine tofauti na Dar au utoke Dar uhamie mikoani.

Yaani kuwapeleka tu Dom makao makuu walikuwa wanapinga na kukataa ila kwa sababu za njaa wanaenda shingo upande
 
Unapenda ukweli kaka.,
 
Ss wewe maku unasema Tz ni Dar na Dar ni Tz zen hapo hapo huwa unamsifia JK kwamba alikuwa kiongozi bora, kwahiyo alikuwa wapi kuendeleza miji mingine? Hapo hapo huwa unaponda Magu anapojenga miundombinu sehemu nyingine kwa kusema kuwa hazina potential, mbn wewe malaya ni shetani wa kiwango cha ajabu sana kuwahi kutokea nchi hii, Mana hata mmeo ZZK hakufikii kwa unafki huu.
 

Labda kama hujaenda Tanzania hivi karibuni. Lkn kama umeenda, kuna uwekezaji mkubwa sana unaoendelea Dodoma, kanda ya ziwa, Arusha etc
 
Jk ndio aliongoza Tzn peke yake toka 1961? Jk aliifungua mikoa mingi ya Tzn kwa barabara,ilitarajiwa Magu amalizie lakini Hadi sasa hakuna kinachoendelea zaidi ya Chato,Dom na Dar tuu.

Malizieni barabara ndio zinawasaidia watu sio mareli yenu hayo afu WB bank umesikia wanasema uchumi ukoje huko?

Mtaishia kutoa mapovu na kujifariji kwa matusi ila mkipotosha nawaumbua
 

Wee si umesema huko ni stand tu ndiyo zinajengwa?
 
Labda kama hujaenda Tanzania hivi karibuni. Lkn kama umeenda, kuna uwekezaji mkubwa sana unaoendelea Dodoma, kanda ya ziwa, Arusha etc
Chuki binafsi zinafanya mpk anachukia nchi yake mbwa huyu.
Wee si umesema huko ni stand tu ndiyo zinajengwa?
Ukweli ni uchungu sana kwa blind patriotism [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23], vitu vingine viko too obvious kupinga, ni aibu na dharau watu wanajiletea humu.
 
Umeongea vyema
 
 

Attachments

  • 2981232_28313112047_b0d082e307_b.jpg
    132.4 KB · Views: 17
  • 2981224_43182604571_3e865ff8ac_b.jpg
    78 KB · Views: 17
  • 2022-01-15.jpg
    907.9 KB · Views: 17
  • 1541877_62614_560675270636121_374086059_n.jpg
    114.7 KB · Views: 19
  • 1558901_FB_IMG_1501526271274.jpg
    54.9 KB · Views: 19
  • 2984237_images.jpg
    18.1 KB · Views: 22
  • _20220809_194801.JPG
    433.3 KB · Views: 21
  • _20220809_191822.JPG
    437.3 KB · Views: 16
  • 2183352_IMG_20191015_133306.jpg
    63 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…