sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani.
=====================================================
The man seems to be driven with deep hate, racism and phobia of some groups.
-It is only the truth if he likes it and lie when is against him
- he does not care about humanity or anything, he only care about himself and his fortune. fro any open minded person, it is time to not take the guy serious
It is the matter of time, people will see his true color.
- Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo.
- Hapendi kuulizwa maswali.
- Anataka kuwa juu ya kila kitu; aliwahi kumshambulia Sam Altman na baadaye kuanzisha AI yake mwenyewe, akitamani kuwa mmiliki wa ChatGPT.
- Pia ana chuki dhidi ya Waislamu. Ingawa Trump ni mbaya zaidi lakini kuambatana kwa pamoja kumefanya combo yao kuwa hatari zaidi
- Hajali kuhusu ubinadamu au chochote kingine; anajali tu kuhusu yeye mwenyewe na utajiri wake.
- Kwa mtu yeyote mwenye fikra huru, ni wakati wa kutomchukulia kwa uzito.
=====================================================
The man seems to be driven with deep hate, racism and phobia of some groups.
-It is only the truth if he likes it and lie when is against him
- he does not want to be questioned.
- he want to be on top of everything, he once attacked Sam altaman and later came up with his own AI, he wish he could be the owner of chatgpt.