It is the matter of time before people realize how Evil Elon Musk is

Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani.

  • Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo.
  • Hapendi kuulizwa maswali.
  • Anataka kuwa juu ya kila kitu; aliwahi kumshambulia Sam Altman na baadaye kuanzisha AI yake mwenyewe, akitamani kuwa mmiliki wa ChatGPT.
  • Pia ana chuki dhidi ya Waislamu. Ingawa Trump ni mbaya zaidi lakini kuambatana kwa pamoja kumefanya combo yao kuwa hatari zaidi
  • Hajali kuhusu ubinadamu au chochote kingine; anajali tu kuhusu yeye mwenyewe na utajiri wake.
  • Kwa mtu yeyote mwenye fikra huru, ni wakati wa kutomchukulia kwa uzito.
Ni suala la muda tu, watu wataona rangi zake halisi.

=====================================================

The man seems to be driven with deep hate, racism and phobia of some groups.
-It is only the truth if he likes it and lie when is against him
  • he does not want to be questioned.
  • he want to be on top of everything, he once attacked Sam altaman and later came up with his own AI, he wish he could be the owner of chatgpt.
He also have hate against Muslims, I think Trump is worse, but he made more mistake to take him as well, adding more misery.
- he does not care about humanity or anything, he only care about himself and his fortune. fro any open minded person, it is time to not take the guy serious

It is the matter of time, people will see his true color.

Asili yake inazungumza
 
Huyo ndo mdau wa free speech in 21 th Century.
 
Tafuta hela ww acha kuita watu wenye pesa zao waovu.
 
Mwenye kumbukumbu yeyote naomba anikumbushe, "lini mliwahi kumsikia muislam au jumuia ya kiislam ikimsifia mtu au taasisi isio ya Kiislamu" Aanzie hapa Tanzania na popote
 
Zionists wana nguvu sana, wakati anainunua twitter aliwahi kuwatukana Waisrael..... Mambo yakabadilika sana baada kuonekana Israel kashikishwa ukuta(western wall), ni kama aliomba msamaha nyuma ya pazia na akapewa masharti magumu.

Zioz controls $$$$
 
Si busara Kum attack mtu ambaye Wala hausian na wew!!
1.Yeye si raisi wako
2. Si mzazi wako
3. Si kiongozi wako wa dini
4. Si mkeo/mumeo kiasi umpangie lifestyle
5. Si mbunge wako.
Sioni logic ya kumzungumzia mtafutaji kamA watafutaji wengine!!! Ni sawa kwenda kwa Mo dewji uanze kusema kwann haendi kanisani! Basi ni mbaguzi!

Tafuta pesa ufanane nae level, then kwea pepa nenda kamchane live, acha kuleta maneno ya kusema sema watu
 
Kale ka msemo ka kobaz kuwa waisiamu wanaongoza kwa pesa duniani kaliishia wapi ?
 
Si busara Kum attack mtu ambaye Wala hausian na wew!!
1.Yeye si raisi wako
2. Si mzazi wako
3. Si kiongozi wako wa dini
4. Si mkeo/mumeo kiasi umpangie lifestyle
5. Si mbunge wako.
Sioni logic ya kumzungumzia mtafutaji kamA watafutaji wengine!!! Ni sawa kwenda kwa Mo dewji uanze kusema kwann haendi kanisani! Basi ni mbaguzi!

Tafuta pesa ufanane nae level, then kwea pepa nenda kamchane live, acha kuleta maneno ya kusema sema watu
We ni mjinga bado uko kwenye level za kujadili kina Zuchu.
 
Back
Top Bottom