It is worth it.......


Energy neither Created nor destroyed,from one Form to another
 
wanaume wasikuhizi hawana huo uvumilivu

Ni kwa sababu wanawake nao wameshasahau hiyo nadharia ya Newton aliyotuwekea MJ1............. siku hizi wanaume hawahitaji mbinu nyingi kuwapata wanawake kama ilivyokuwa hapo nyuma.................... saa nyingine kwa kukonyeza tu, ushasomeka, ninani anataka kulaza damusiku hizi!? ukibana sana utadda, vijana wa sku hizi hawajui hata misamiati kutongoza............. mitandao ya intenet na simu za viganjani vimebadilisha mambo sana, vijana wanawasiliana kwa urahisi na kukamilisha miadi bila hata kuonana, wakati kina sie tulikuwa tunatembea hadi kilomita tano huko vijijini kwenda kutongoza! kumbuka ni kutongoza na sio kwenda kupewa! na usishangae ukarudi bila kukubaliwa, mistari haikukolea unarudi kujipanga upya............... hii falsafa ya Newton ilikuwa ni zamani sio siku hizi,................. ahsante mwanangu kwa kuniumbusha enzi zangu..............
 
wanaume wasikuhizi hawana huo uvumilivu

Hapo sasa yaani wao wanadanganywa na wenzao kuwa asikubabaishe, wanawake wamejaa kibao tena wazuri kama malaika. Nao wanaona kweli bwana kwa nini aringe. Kumbe anawezajikuta anaipoteza lulu bana. Yaani umtokee binti wa kike mwenye haiba ya kike leo, akuzungulishe kisha kesho unaonekana na mwingine ah, hata mie kikongwe ntahic tu ulikuwa unamzuga ulitaka kula kibakila kisha usepe. Kuweni na subira
 
MJ1

HIyo law inaaply zaidi kwa mwenye kufukuzia au kufukuziwa??

na je tunaweza kuitumia kwenye mambo mengine kama kumtimua mtu (vs. chuki kuongezeka)?
 
daaaahhh,.... ...mdahalo huu, mnh!?


HAHAHAAAAAAAAA... naangalia energy transformation aisee; maana waweza ukawa unafukuzia, na mwenzio anafukuzia kwingine so the whole energy inafukuzia yule wa mwisho... sasa utamu ni pale chain inapokuja kuungana kwa nyuma halafu yule unayemkimbia nae anakimbia unaemkimbilia ambaye wewe ndio target

aisee, i gotta need some water dude!!

Imenikumbusha kekule structure (chemistry) jamaa aliota nyoka wameumana mikia

LOL
 
hehehe halaf lawyer niko likizo.


daaaahhh,.... ...mdahalo huu, mnh!?

MJ1

HIyo law inaaply zaidi kwa mwenye kufukuzia au kufukuziwa??

na je tunaweza kuitumia kwenye mambo mengine kama kumtimua mtu (vs. chuki kuongezeka)?

Lol Hebu tuelewesheni na wenzenu mbona mnazungumza kilugha tu!!?

MTM hapana hii ni kwa wanaofukuziana wenye bahati zao tu lol kes nyie mnaoachana nadhani kibao cha kelb kinafaa zaidi
 
nawashanga hata mie shemeji. ah mie nimeweka tu lisentensi nimeliokota humu kwenye movie sasa naona linanigeukia!!

hehehe mimi kuna mtu bado nadhani hajatembelea hii sredi (jina kapuni), nitafrahi nikiona komenti yake kuhusiana na hili.
acha niendelee kusubiria
 
MwanajamiiOne naomba nitofautiane na wewe,kiuhalisia hii principle hai apply siku hizi coz mwanaume ukichelewesha msichana anakushangaa siku hizi ni tit for tat huwa najuta sometimes kwa nn hata nime flirt na mtu
 



....MTM hizo za kufukuziana khaaa?...labda tuangalie 'kibiashara' zaidi, present value na future worth...




klorokwini ushaanza maswali yako ya kipolisi, ...Objection Sustained!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…