It is worth it.......

It is worth it.......

Ningekua na uwezo ningelifuta hilo la kuzungushana.Sasa unamzungusha mtu for what?Huwa linanikera sana,na hilo ni moja ya mambo ambayo linanipa uvivu kumtokea mwanamke,huwa napata hasira sana!

lol....Eiyer bana, mbuzi ala kwa urefu wa kamba yake! ...sizitaki mbichi hizi?....
fruit-3.jpg
...
"For every action there is an equal and opposite reaction"
-Newton 3rd law of motion.
 
I beg to differ MTM! Kuzungusha sio kama inanuiwa kwa mfukuziaji, naweza nikawa najichunguza mwenyewe moyoni mwangu kupata uhakika kama this is really what I want. Kuna usem 'what comes easy,goes out easy', niongezee with the same speed.
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha
 
425_mouse_trap.jpg

♪ ♫....whistling!.....♪ ♫
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.
 
I beg to differ MTM! Kuzungusha sio kama inanuiwa kwa mfukuziaji, naweza nikawa najichunguza mwenyewe moyoni mwangu kupata uhakika kama this is really what I want. Kuna usem 'what comes easy,goes out easy', niongezee with the same speed.
he said... she said

i am done
 
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.

duh

its all about friction.... period!!!
 
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.

hahahahahaha!....e bana weeeee...
8784732-golden-money-in-mouse-trap-on-white-background.jpg
...patakuwa hapatoshi hapa....lol!!!!
 
MJ1 kwanza niongezee kidogo kwenye hiyo sheria ya Isack Newton,alianza kwa kusema ...'energy can never be created nor destroyed but it can change from one form to another and the sum total of energy in the universe is constant...' mwisho wa nukuu.
Jingine nikwambie MJ1,kwa wanaume walio wengi raha ipo kwenye kuwinda na sio kwenye kuchuna ngozi.Ndo mana mwanaume anaweza akufukuzie weeeeeeeeee yaani mpaka inakuwa obsession lakini siku akikulamba tu humwoni tena unabaki kushangaa na kujiuliza hivi huyo ndo Bishanga kweli ambaye kila asubuhi sms ya kwanza ilikuwa inatoka kwake? haijawahi kukutokea? tuko hivo wanaume ati,too sad lakini wengi ndo hulka zetu,ukiniuliza kwa nini sina majibu.
 
I beg to differ MTM! Kuzungusha sio kama inanuiwa kwa mfukuziaji, naweza nikawa najichunguza mwenyewe moyoni mwangu kupata uhakika kama this is really what I want. Kuna usem 'what comes easy,goes out easy', niongezee with the same speed.

....lol...kama roller coaster ride ups & lows eee?....

cartoon06.jpg
...hahahahah!....haya bana,...let him enjoy the ride before it lasts!
 
MJ1 kwanza niongezee kidogo kwenye hiyo sheria ya Isack Newton,alianza kwa kusema ...'energy can never be created nor destroyed but it can change from one form to another and the sum total of energy in the universe is constant...' mwisho wa nukuu.
Jingine nikwambie MJ1,kwa wanaume walio wengi raha ipo kwenye kuwinda na sio kwenye kuchuna ngozi.Ndo mana mwanaume anaweza akufukuzie weeeeeeeeee yaani mpaka inakuwa obsession lakini siku akikulamba tu humwoni tena unabaki kushangaa na kujiuliza hivi huyo ndo Bishanga kweli ambaye kila asubuhi sms ya kwanza ilikuwa inatoka kwake,haijawahi kukutokea? tuko hivo wanaume ati,too sad lakini wengi ndo hulka zetu,ukiniuliza kwa nini sina majibu.

---jibu lake ni..." an early bird catches the worm, but the second mouse gets the cheese!"...
i hope sasa mmeuelewa ule mtego wa panya post #13...te-he!
 
Duh!! MTM na Mbu nimewakubali kha!yaani jinsi mlivyoipeleka hii thread!
 
.....lol....klorokwini unaniangusha bana....khaaaaaaaaa?
images
"....kwi kwi kwi!"

ha ha ha mkuu mbu, saikolojia ya kinadada iko so complicated so ni wewe ndo unatakiwa uwe mwelewa wa kumsoma mdada kwamba either "yupo mgumu" au "unazungushwa"? and if u r not man enough kuweza kumtofautisha mdada mgumu na mdada anaekuzungusha, I bet u r not a man enough to deserve a perfect partner.

heheeh halaf uchangiaji wetu wa kwenye hii sredi nadhani somehow umeathiriwa na post yako no 13, tusilaumiane sana mkuu lol
 
kamanda... there is no psychology aisee, its a game of chance and theories zote za new world order zinaelekeza kwamba vitu kama electrons, neutrons and other electromagnetic field influencing factors or things that affect some of our inner deciders (senses) ndivyo vinavyorun dunia

Have you ever wondered how one can just get a kiss from a stranger without even saying a word?? have you ever met a lady and after a minutes she is the wildest animal of all and in a few minutes she says how did i do that??? or have you ever read something about pheromones and their influence in our daily life especially MMU

Come to think of love/hate transition/crossovers ndio kabisaa nasema to MJ1 hakuna any law ya wanasayansi inayoapply kwenye mahusiano/mapenzi
 
Back
Top Bottom