we nawe nani jamani? Kishndindo au tupa tupa? Sikuelewi elewi.
Ningekua na uwezo ningelifuta hilo la kuzungushana.Sasa unamzungusha mtu for what?Huwa linanikera sana,na hilo ni moja ya mambo ambayo linanipa uvivu kumtokea mwanamke,huwa napata hasira sana!
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.
♪ ♫....whistling!.....♪ ♫
he said... she saidI beg to differ MTM! Kuzungusha sio kama inanuiwa kwa mfukuziaji, naweza nikawa najichunguza mwenyewe moyoni mwangu kupata uhakika kama this is really what I want. Kuna usem 'what comes easy,goes out easy', niongezee with the same speed.
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.
Mkuu Mbu we ni nguli wa kompyuta,kwenye huu mtego wa panya juu ya hicho chambo hebu bandika picha ya pete ya ndoa hapo,italeta picha nzuri zaidi na maana kubwa zaidi.
I beg to differ MTM! Kuzungusha sio kama inanuiwa kwa mfukuziaji, naweza nikawa najichunguza mwenyewe moyoni mwangu kupata uhakika kama this is really what I want. Kuna usem 'what comes easy,goes out easy', niongezee with the same speed.
kuna mtu kaiba ki bato cha 'like'!duh
its all about friction.... period!!!
usiogope bana we bandika tu,wakija juu nitakukingia kifua!
hahahahahaha!....e bana weeeee......patakuwa hapatoshi hapa....lol!!!!
MJ1 kwanza niongezee kidogo kwenye hiyo sheria ya Isack Newton,alianza kwa kusema ...'energy can never be created nor destroyed but it can change from one form to another and the sum total of energy in the universe is constant...' mwisho wa nukuu.
Jingine nikwambie MJ1,kwa wanaume walio wengi raha ipo kwenye kuwinda na sio kwenye kuchuna ngozi.Ndo mana mwanaume anaweza akufukuzie weeeeeeeeee yaani mpaka inakuwa obsession lakini siku akikulamba tu humwoni tena unabaki kushangaa na kujiuliza hivi huyo ndo Bishanga kweli ambaye kila asubuhi sms ya kwanza ilikuwa inatoka kwake,haijawahi kukutokea? tuko hivo wanaume ati,too sad lakini wengi ndo hulka zetu,ukiniuliza kwa nini sina majibu.
yaani kloro hayuko kwenye oroza? subiri aje!Duh!! MTM na Mbu nimewakubali kha!yaani jinsi mlivyoipeleka hii thread!
yaani kloro hayuko kwenye oroza? subiri aje!
Ndo taabu ya ku-date misukule. Utakoma sasa!
kumbe mwanao ni msukule?
ha ha ha mkuu mbu, saikolojia ya kinadada iko so complicated so ni wewe ndo unatakiwa uwe mwelewa wa kumsoma mdada kwamba either "yupo mgumu" au "unazungushwa"? and if u r not man enough kuweza kumtofautisha mdada mgumu na mdada anaekuzungusha, I bet u r not a man enough to deserve a perfect partner......lol....klorokwini unaniangusha bana....khaaaaaaaaa?"....kwi kwi kwi!"
kamanda... there is no psychology aisee, its a game of chance and theories zote za new world order zinaelekeza kwamba vitu kama electrons, neutrons and other electromagnetic field influencing factors or things that affect some of our inner deciders (senses) ndivyo vinavyorun duniaha ha ha mkuu mbu, saikolojia ya kinadada iko so complicated so ni wewe ndo unatakiwa uwe mwelewa wa kumsoma mdada kwamba either "yupo mgumu" au "unazungushwa"? and if u r not man enough kuweza kumtofautisha mdada mgumu na mdada anaekuzungusha, I bet u r not a man enough to deserve a perfect partner.
heheeh halaf uchangiaji wetu wa kwenye hii sredi nadhani somehow umeathiriwa na post yako no 13, tusilaumiane sana mkuu lol