Darwin james
Member
- Oct 18, 2023
- 26
- 24
Habari wana jukwaa,
Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na competence kwenye field hiyo.
Pia Naomba msaada wa namna gani ya kuzi acess (Kuanza kujifunza), Period (Muda) wa kozi husika mpaka kumalizika, Sites (website) zinazotoa hizo certifications na gharama zake zikiwa converted (in Tanzanian shillings).