"It takes two to tango" sijui kama waliomsikia mama Samia walisikiliza vizuri

"It takes two to tango" sijui kama waliomsikia mama Samia walisikiliza vizuri

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza

it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta mkwamo ni ya upande mmoja tu (CCM).

Kama hivi ndivyo bado tuna safari ndefu na ukuzingatia vyama vingine havikuhusishwa kwa kiwango sawa.

What is the literal meaning of it takes two to tango?
If you say it takes two or it takes two to tango, you mean that a situation or argument involves two people and they are both therefore responsible for it. Divorce is never the fault of one partner; it takes two.
 
FB_IMG_1675375753319.jpg
 
Naona kama nilipitwa na baadhi ya viji-parts kwenye speech yake [emoji848]
 
Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza
it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta mkwamo ni ya upande mmoja tu (CCM). Kama hivi ndivyo bado tuna safari ndefu na ukuzingatia vyama vingine havikuhusishwa kwa kiwango sawa.
What is the literal meaning of it takes two to tango?
If you say it takes two or it takes two to tango, you mean that a situation or argument involves two people and they are both therefore responsible for it. Divorce is never the fault of one partner; it takes two.

And it takes many parties to tikiti maji.

When it involves many parties in the situation it will no longer be a "tango" rather a "tikiti maji". 😀
 
Back
Top Bottom