IT wabongo, Elon Musk katoa shavu kwenu! Tumeni kazi zenu!

IT wabongo, Elon Musk katoa shavu kwenu! Tumeni kazi zenu!

Sio idea kuibiwa! Peleka kazi yoyote inayohusu coding uliyowahi kuifanya na kuirun! Kwa hilo hakuna cha kuiba idea! Issue ni kwamba huwezi kulodge app from Africa ikakubaliwa! Wataipiga chini!
Elon huwa anatafuta THE BEST haijalishi anatoka wapi. Sioni Tanzania ikiweza viwango hivi.
 
Bongo hamna IT ni wazugaji tu.

Nilipeleka simu yangu kwa jamaa aliyesifika kuwa ni nguli wa ku unlock network.

Nilipofika pale akanitajia bei nikasema poa nitalipia akaniambia kaa hapo. Kacheza nayo pale mezani na laptop yake kama lisaa hivi kila akigusa ngoma ngumu.

Baada ya muda jamaa akashusha laptop chini so nikawa sioni kinachoendelea.

Then kama sekunde kadhaa akiwa huko chini nikasikia "welcome guys this is my YouTube channel and today we'll learn how to unlock network" kabla hata haijamaliza nikamwambia hiyo tutorial ya huyo muhindi hata mimi nimeiangalia.

Akasimama akasema "eeeeh basi hii haiwezekani mzee"
 
Bongo hakuna wataalamu wa IT😏

Elon akili kubwa sana.. Elon anaondoa ile inaitwa mainstream thinking, ya watu kufikiri ama kuajiriwa kwa sababu ya chuo alichosoma, maksi alizopata nk. Elon anataka uonyeshe uwezo nje ya makaratasi.

Elon anasema makaratasi yamekua yakidanganya watu na kupelekea kuacha watu wa maana kisa hawakufaulu vizuri ama hawakusoma vyuo vyenye majina makubwa na kuwaajiri mabogus wenye vyeti vizuri.
 
Bongo hamna IT ni wazugaji tu.

Nilipeleka simu yangu kwa jamaa aliyesifika kuwa ni nguli wa ku unlock network.

Nilipofika pale akanitajia bei nikasema poa nitalipia akaniambia kaa hapo. Kacheza nayo pale mezani la laptop yake kama lisaa hivi ngoma ngumu.

Baada ya muda jamaa akashusha laptop chini so nikawa sioni kinachoendelea.

Then kama sekunde kadhaa akiwa huko chini nikasikia "welcome guys this is my YouTube channel and today we'll learn how to unlock network" kabla hata haijamaliza nikamwambia hiyo tutorial ya huyo muhindi hata mimi nimeiangalia.

Akasimama akasema "eeeeh basi hii haiwezekani mzee"
Nimecheka sana😃😃 muhuni kakimbilia YouTube na ndo wengi wanafanya hivyo wabongo wengi simu inaweza ikawa haiwashi data anakimbilia kwa fundi, fundi anaingia YouTube ana solve tatizo ukitoka hapo unasema yule jamaa ni bonge la fundi
 
Back
Top Bottom