Lucas Mwashambwa amebubujikwa.Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
View: https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Unamuandama sanaππLucas Mwashambwa amebubujikwa.
Kaona hii kazi Hadi machozi ya furaha yamemwagikaaa π πLucas Mwashambwa amebubujikwa.
Competition hapo ni kubwa na itakuwa so demanding.Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
View: https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Akipatikana mtanzania atasifiwa mama lucasKaona hii kazi Hadi machozi ya furaha yamemwagikaaa π π
Hii ilikuwa ndoto yake ya muda kuunda app kama wechat... sijui itafanikiwa.Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
View: https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Sema elon muhuni, ili akachukue ideas za watu aweke yeyeAcheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
View: https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Sio idea kuibiwa! Peleka kazi yoyote inayohusu coding uliyowahi kuifanya na kuirun! Kwa hilo hakuna cha kuiba idea! Issue ni kwamba huwezi kulodge app from Africa ikakubaliwa! Wataipiga chini!Sema elon muhuni, ili akachukue ideas za watu aweke yeye
Elon huwa anatafuta THE BEST haijalishi anatoka wapi. Sioni Tanzania ikiweza viwango hivi.Sio idea kuibiwa! Peleka kazi yoyote inayohusu coding uliyowahi kuifanya na kuirun! Kwa hilo hakuna cha kuiba idea! Issue ni kwamba huwezi kulodge app from Africa ikakubaliwa! Wataipiga chini!
Wapo, sema hawataki show off π π πElon huwa anatafuta THE BEST haijalishi anatoka wapi. Sioni Tanzania ikiweza viwango hivi.
Nimecheka sanaππ muhuni kakimbilia YouTube na ndo wengi wanafanya hivyo wabongo wengi simu inaweza ikawa haiwashi data anakimbilia kwa fundi, fundi anaingia YouTube ana solve tatizo ukitoka hapo unasema yule jamaa ni bonge la fundiBongo hamna IT ni wazugaji tu.
Nilipeleka simu yangu kwa jamaa aliyesifika kuwa ni nguli wa ku unlock network.
Nilipofika pale akanitajia bei nikasema poa nitalipia akaniambia kaa hapo. Kacheza nayo pale mezani la laptop yake kama lisaa hivi ngoma ngumu.
Baada ya muda jamaa akashusha laptop chini so nikawa sioni kinachoendelea.
Then kama sekunde kadhaa akiwa huko chini nikasikia "welcome guys this is my YouTube channel and today we'll learn how to unlock network" kabla hata haijamaliza nikamwambia hiyo tutorial ya huyo muhindi hata mimi nimeiangalia.
Akasimama akasema "eeeeh basi hii haiwezekani mzee"
ππAkasimama akasema "eeeeh basi hii haiwezekani mzee"