Wimbo huu unanipa faraja siku zote"It's time for me to do it on my own"
Masikini ngada imetupotezea mwanamuziki bora wa muda wote
Kifo ni hatma ya kila kiumbe ... hiyo ilikuwa ni kama sababu tu ya yeye kuweza kukifikia kifo ..hata usipo tumia unga utakufa tuMasikini ngada imetupotezea mwanamuziki bora wa muda wote
ni kweli mkuu, ila maaana yangu ni kwamba bila unga pengine angekua hai mpaka leo japokua mwisho wa sikuangekufaKifo ni hatma ya kila kiumbe ... hiyo ilikuwa ni kama sababu tu ya yeye kuweza kukifikia kifo ..hata usipo tumia unga utakufa tu
Simna semaga kwamba kila kitu ni mipango ya Mungu !?ni kweli mkuu, ila maaana yangu ni kwamba bila unga pengine angekua hai mpaka leo japokua mwisho wa sikuangekufa
wewe ndo wanena hilo
lete mkuu
Mipango na madhumuni ya Mungu ni ya kudumu na mapenzi yake hayawezi kukiukwa .kile alicho kikusudia ataleta .na hakuna serikali inayo weza kupinga kauli yake (Danieli 4:34-35)wewe ndo wanena hilo