nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
soma ilo neno ulielewe kwanza ndo tuanze kujadili, inaonekana ulilipitia juu juu tu na kuja kulipost hapaMipango na madhumuni ya Mungu ni ya kudumu na mapenzi yake hayawezi kukiukwa .kile alicho kikusudia ataleta .na hakuna serikali inayo weza kupinga kauli yake (Danieli 4:34-35)
Hiyo aya inatofauti gani na msemo unao sema kila kitu hupangwa na Mungu !?
Sent using Jamii Forums mobile app