Mipango na madhumuni ya Mungu ni ya kudumu na mapenzi yake hayawezi kukiukwa .kile alicho kikusudia ataleta .na hakuna serikali inayo weza kupinga kauli yake (Danieli 4:34-35)
Hiyo aya inatofauti gani na msemo unao sema kila kitu hupangwa na Mungu !?
Sent using
Jamii Forums mobile app