Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Yaani awali wakati wanataka kuingia vitani walikua hawajui kama watakua wapo wrong ama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Doooh kwamba US iliikimbia Somalia? Yaaani nchi iliyoisambaratisha Islamic State kumuua Al baghldad, US iliyomuua Osama na kuiteketeza Al Qaeda ndo ishindwe hapo Somalia?
Vitu vingine ni interest tu mkuu hakuwa Na Interest hapo Somalia. US was wrong kuwepo in that war in the 1st place.
SAUDI ARABIA Apigane Na HOUTH kwanza Anahangaika Nao Mwaka Wangapi HuuIran kupigwa na US ni kama kuua mende kwa nyundo, Iran atatandikwa na Saudi Arabia na huo ndo utakuwa mwisho wa mashia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuui mende kwa nyundo, saudia Arabia atayasambaratisha mashia na huo ndo utakuwa mwisho wa uislam kuchafuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAUDI ARABIA Apigane Na HOUTH kwanza Anahangaika Nao Mwaka Wangapi Huu
US Anatamani Kumpiga MUAJEMI ila Anajua Khatma Atakayokumbana Nayo Anabakia Kubweka Tuu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]
Sent using My COVID-19
No hatuikuzi Iran,ila ni kweli imekua sana kijeshi.Hatusemi it is as powerful as the US hapana,na hii imeonyeshwa wazi kwenye bandiko, ila US kuishambulia Iran,ni lazima Marekani ifikirie mara mbili,wanaweza kupata damage kubwa sana.Mkuu Iran is powerful yes, but not as you put it. Iran ingekuwa that powerful US officials wasingepata guts za kumuua Soleimani ambaye alikuwa the most influential figure in the Iranian Military.
Yaani Suala la US kumuua Soleimani ni sawasawa na US kuishika makalio Iran na inatosha kabisa kuthibitisha Iran kuwa siyo that powerful kama unavyoiweka. Yaaani Top Iran Military Officer anauliwa anaishia kuattack a military base tena without a single death. Kwanini Iran wasinge-retaliate kwa kumuua mtu kama Michael Grinston ambaye ni top official kwenye Jeshi la US? Wakaishia kulialia tu.
Ngoja nikuulize hivi Unahisi Nini kitatokea Leo kama US ikimuua mtu kama Park Jong Chon ambaye ni kama Soleimani kwa North Korea?
Na unahisi Nini kitaipata US ikijaribu kufanya hivyo?
Mnaikuza Sana Iran.
Iraq was a devastated army already by then,si unakumbuka walikuwa wametoka kwenye vita na Iran.Kumbuka pia kwamba Marekani hawakuwa wenyewe katika vita ile,that was a coalition.Uingereza walikuwepo,Canada nk.nk.Nimekuelewa mkuu ila kwenye Iraq War against Sadam Hussein, US pia ilishindwa?