Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
AahhaaaaaaUnabahati humu hakuna action ya "block"
mbona unataka kunirushia ngumi shabiki mwenzio mkuu?Unabahati humu hakuna action ya "block"
AaahaaaaaKombe la kutoka kiume 😂😂
Tumevamiwa humuwakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?
sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!
yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?
tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta
hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Kombe la shots(0) 😂Aaahaaaaa
Mkuu kabla sijasoma nimeLIKE kwanza!!!wakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?
sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!
yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?
tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta
hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Wenzako Wanasema wamekufa kiumeKombe la shots(0) 😂
Nako mkienda mtagongeshwa shooKuna super cup inakuja ambayo mnalialia nafasi ziongezwe ili mshiriki ila CAf wamechagua timu nane bora Afrika.
Simba wamecheza na timu ambayo ni bingwa mtetezi na wachezaji wake watatu walishiriki kombe la dunia nyie endeleeni kucheza mashindano ya levo yenu maana hata huku mlikuwepo ila mkatolewa hatua za awali
Ugomvi wa wazi kabisa huu! Kombe la robo fainali tena!!!wakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?
sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!
yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?
tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta
hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Kiume gan hiyo hata shuti golini hakuna ?Wenzako Wanasema wamekufa kiume
Kwahiyo ikawaje badaye??????Kuna super cup inakuja ambayo mnalialia nafasi ziongezwe ili mshiriki ila CAf wamechagua timu nane bora Afrika.
Simba wamecheza na timu ambayo ni bingwa mtetezi na wachezaji wake watatu walishiriki kombe la dunia nyie endeleeni kucheza mashindano ya levo yenu maana hata huku mlikuwepo ila mkatolewa hatua za awali
AahaaaaKiume gan hiyo hata shuti golini hakuna ?