itabidi CAF watengeneze Kombe la Robo Fainali

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu,

Hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?

Sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu, tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!

Yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?

Tumejaza wachezaji walevi kama Chama na Saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina Kibu, yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta.

Hivi huyu Onyango hakuwa amelewa kweli? Mimi naona CAF watupe Kombe la Robo Fainali tu, nimechoka na hili litimu genge la mateja!
 
wakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?

sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!

yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?

tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta

hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Tumevamiwa humu
 
Mkuu kabla sijasoma nimeLIKE kwanza!!!

Sasa ndio naenda kusoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna super cup inakuja ambayo mnalialia nafasi ziongezwe ili mshiriki ila CAf wamechagua timu nane bora Afrika.
Simba wamecheza na timu ambayo ni bingwa mtetezi na wachezaji wake watatu walishiriki kombe la dunia nyie endeleeni kucheza mashindano ya levo yenu maana hata huku mlikuwepo ila mkatolewa hatua za awali
 
Nako mkienda mtagongeshwa shoo
 
Ila mashabiki mnashindwa nini kuwa na timu kwa nyakati zote bila maneno ya hovyo hovyo? Hawa uliowataja si ndio mlikua mnawaimbia mapambio kila leo, kulikoni?

"tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta"
 
wakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?

sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!

yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?

tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta

hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Ugomvi wa wazi kabisa huu! Kombe la robo fainali tena!!!
 
Kuna super cup inakuja ambayo mnalialia nafasi ziongezwe ili mshiriki ila CAf wamechagua timu nane bora Afrika.
Simba wamecheza na timu ambayo ni bingwa mtetezi na wachezaji wake watatu walishiriki kombe la dunia nyie endeleeni kucheza mashindano ya levo yenu maana hata huku mlikuwepo ila mkatolewa hatua za awali
Kwahiyo ikawaje badaye??????
 
Back
Top Bottom