itabidi CAF watengeneze Kombe la Robo Fainali

itabidi CAF watengeneze Kombe la Robo Fainali

wakuu
hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?

sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo imekuwa ni nyau tu
tulilalamika mwanzo kutuletea wachezaji wa mafungu ya nyanya sijui sawadogo mara watara sijui mwita!

yanga wenzetu wanakwenda nusu sijui tutasingizia nini?

tumejaza wachezaji walevi kama chama na saido kichwa kama papai, wengine wavuta bange akina kibu yaani unaona kabisa mchezaji jicho nyanya amevuta

hivi huyu onyango hakuwa amelewa kweli?
mimi naona caf watupe kombe la robo fainali tu nimechoka na hili litimu genge la mateja
Kwahiyo Jana ndo walikabidhiwa kombe Lao la robo Fainali [emoji28][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom