Itabidi leo watanzania wote msali kwa lugha zote zilizopo duniani.

Itabidi leo watanzania wote msali kwa lugha zote zilizopo duniani.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Tangu timu ya taifa imeshiliki mashindano ya afcon kwa mala ya kwanza na ya mwisho kuna watu walikuwa hawajazaliwa sasa hivi niwababa watu wazima na familia zao, wengine walizaliwa mpaka wamekufa bila kuona timu ya taifa inashiliki michuano hii mikubwa kwa ngazi ya timu za taifa barani africa.
Leo timu ya taifa ya ugada the cranes watakuwa katika dimba la namboole kukipiga na cape verde milango ya saa kumi kamili jioni ya leo. Kama kuna siku mtu ana mtakia baraka tele jirani yake kuliko ata yeye basi ni leo maana safari yatu ya kufudhu kwa kiasi kikubwa eshikiliwa na uganda. Ushindi wa leo wa uganda zidi ya cape verde ni muhimu kuliko kitu chochote kwa siku ya leo.
Watanzania wenzangu wake kwa waume, vijana kwa wazee tuombe kwa lugha zetu zote ili cape verde walale leo pale kampala. Mimi naanza hivi waitu mkama wange ninkushaba muno abaganda batutelele cape verde mpaka babone ebichwi waitu ndasima.
 
Tushindwe wenyewe kumeza waganda wameishamaliza kututafunia.
 
Back
Top Bottom