Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Ni ushauri mzuri,sasa hiyo rafiki yake ambaye namuona yuko karibu na brother naye yuko kwenye foleni utafikiri nini hapo,.kaka ni damu yetu tumechangia baba moja mama mmoja acha tu nimwambie ,lazima niseme kwa kaka
Tafuta mshikaji wake wa karibu umwambie achonge naye! Usijiingize kwenye matatizo yasiyo kuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie ila kwa namna nzuri ambayo kibao hakina kugeukia maana wanawake huwa wanafanya ndugu muwe maadui wakubwa so fanya namna ambayo bro atapata ukweli ukikurupuka inaweza kula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili lazima nitumie ,na nitawatoa hata out ili nikawambie vzr huko hata kwa mafumbo kaka namwelewa atajua mapema sana kwa mafumbo
Mwambie ila kwa namna nzuri ambayo kibao hakina kugeukia maana wanawake huwa wanafanya ndugu muwe maadui wakubwa so fanya namna ambayo bro atapata ukweli ukikurupuka inaweza kula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshakusikia mdogo wangu.Nimpe nini huyu mwanamke kama vyote ninavyompa malipo yake ndo haya.Narudi wiki ijayo,muweza wa yote anijaalie hekima katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I quote, 'Hata nikimwambia Kaka, hakuna ninayemtegemea kwa sasa'

Umekaa kwa kaka yako weeee, ukapikiwa na shemeji yako sasa hivi badala uondoke kwa amani unataka uache umevuruga ndoa yake.
Khaaa leo nahisi kuna mtu anatumia hii ID yako, huu siyo mtizamo wa Karucee yule niliyemzoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ww mgugu mbona unamuulizia sana shem,shem ni mwanamke mzuri sana shombe shombe ,mrefu,huko nyuma ndo balsa.ila lazima niseme tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemu wa namna hio hua anauma hatari yaani hapo ulipo unaweza kuvutia taswira yupo na bwege flani hivi anampiga doggy style huku shemeji analalamika kwa utamu, mbaya zaidi ukipata tetesi huyo mgoni wenu ana mgugu wa mtoto.

Maendeleo hayana chama
 
C ndo hapo sasa ,mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu nayajua maumivu unayoyapitia nakuombea Mungu zaidi kukupa uvumilivu na subira mpk kaka atakaporudi.

Maendeleo hayana chama
Yaani mkuu,natumia busara sana maana najijua vzr maana hata nikikutana na hawa watu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr,na nikawachapa ngumi vzr ila sitaki ndo maana nataka nimwambie brother ili atayejipendekeza atakuwa halali yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hapo fala ni nani wewe au yeye, yaani ukweli unabaki kuwa ukweli na kam kuna jitu linaogopa ukweli ni fala hilo jitu lenyewe

Acha ufala mkuu halafu wakiachana utafurahi watoto walelewe na baba tu au mama, mambo ya ndoa waachie wana ndoa.
 
Inategemea mkuu,huyo shem anaweza kukugeuzia kibao ulikiwa unamtaka..kuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenikumbusha mbali, kuna dogo mvulana, nilikuwa namwelewa sana na kumshauri juu ya mambo yake ya kimaendeleo. Alikuwa akifanikiwa sana.
Akapata mchumba. Dada kamaliza O'level wakati dogo aliishia tu la saba. Penzi likamchanganya akawa kipofu, haoni upande wa pili wa mchumba wake.
Siku moja nilishuhudia uchafu wa yule binti. Na wengine waliokuwa wanamfahamu vema wakaniambia kuwa ndo tabia zake za kila mara.
Nilimwuliza dogo kama ameamua yule binti awe ndo mke wa kuishi. Akasema anampenda sana na anataka afunge nae ndoa. Nikamwambia afikirie kwa makini juu ya uamuzi wake na anipe jibu. Akasema hahitaji kufikiri zaidi wala kushauriwa, ameshafanya uamuzi.
Muziki ulikuja hivi. Dogo alikwenda kumwambia binti kuwa nimemwuliza niliyomwuliza. Binti akanigezia kibao kuwa nimekuwa namtaka siku nyingi sana na kwamba yeye alikuwa anakataa.
Dogo alinijia juu na kunitukana sana. Nilimwomba radhi hakutaka kunielewa. Tukakata mawasiliano.
Ila yaliyomkuta kwenye ndoa yake anajua yeye, alikuja kuomba ushauri afanyaje. Nilimwambia tu avumilie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mkuu,natumia busara sana maana najijua vzr maana hata nikikutana na hawa watu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr,na nikawachapa ngumi vzr ila sitaki ndo maana nataka nimwambie brother ili atayejipendekeza atakuwa halali yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu ukihitaji msaada wng katika kuwakalisha chini hao mabwege usisite kunijulisha, yaani sio siri ulivyoniambia kua shemu nae amejaaliwa ana chura kama yote nmejikuta tu roho inaniuma vibaya mno.

Pamoja sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,

Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,

Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kupewa na mume wake,shemeji yangu amepewa kila kitu na hata mimi shem ananiheshimu sana kama shem wake wa pekee hapa mjini ,kakazangu wengine wapo ila nao wanashughuli zao huko mkoani,

Tatizo la shem anaruka sana na wanaume mpaka mimi hii tabia yake nimeanza kuchukia sasa,

Sasa mimi namsubiri kaka yangu arudi kwake ili na mimi nikamwambie uchafu wa mke wake,

Najua hata nikimwambia kaka,hakuna ninayemtegemea kwa sasa,ila lazima niseme ukweli kwa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni muhimu

Ila cha ajabu utakuta kaka naye ni mchepukaji mzuri tu na hivo anasafiri safiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,

Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,

Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kupewa na mume wake,shemeji yangu amepewa kila kitu na hata mimi shem ananiheshimu sana kama shem wake wa pekee hapa mjini ,kakazangu wengine wapo ila nao wanashughuli zao huko mkoani,

Tatizo la shem anaruka sana na wanaume mpaka mimi hii tabia yake nimeanza kuchukia sasa,

Sasa mimi namsubiri kaka yangu arudi kwake ili na mimi nikamwambie uchafu wa mke wake,

Najua hata nikimwambia kaka,hakuna ninayemtegemea kwa sasa,ila lazima niseme ukweli kwa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
sikiliza anza na mwanamke kwanza ndo ufuate jamaa na mwambie kuwa una mueleza bro
 
Back
Top Bottom