uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Na wakifa kwa ukimwi wote watoto watalelewa na nani?Acha ufala mkuu halafu wakiachana utafurahi watoto walelewe na baba tu au mama, mambo ya ndoa waachie wana ndoa.
Tafuta mshikaji wake wa karibu umwambie achonge naye! Usijiingize kwenye matatizo yasiyo kuhusu.
Hahaaa ww mgugu mbona unamuulizia sana shem,shem ni mwanamke mzuri sana shombe shombe ,mrefu,huko nyuma ndo balsa.ila lazima niseme tuKwa hio shemeji yetu nae mashaallah kajaaliwa sio?
Maendeleo hayana chama
Mwambie ila kwa namna nzuri ambayo kibao hakina kugeukia maana wanawake huwa wanafanya ndugu muwe maadui wakubwa so fanya namna ambayo bro atapata ukweli ukikurupuka inaweza kula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa leo nahisi kuna mtu anatumia hii ID yako, huu siyo mtizamo wa Karucee yule niliyemzoeaI quote, 'Hata nikimwambia Kaka, hakuna ninayemtegemea kwa sasa'
Umekaa kwa kaka yako weeee, ukapikiwa na shemeji yako sasa hivi badala uondoke kwa amani unataka uache umevuruga ndoa yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemu wa namna hio hua anauma hatari yaani hapo ulipo unaweza kuvutia taswira yupo na bwege flani hivi anampiga doggy style huku shemeji analalamika kwa utamu, mbaya zaidi ukipata tetesi huyo mgoni wenu ana mgugu wa mtoto.Hahaaa ww mgugu mbona unamuulizia sana shem,shem ni mwanamke mzuri sana shombe shombe ,mrefu,huko nyuma ndo balsa.ila lazima niseme tu
Sent using Jamii Forums mobile app
C ndo hapo sasa ,mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemu wa namna hio hua anauma hatari yaani hapo ulipo unaweza kuvutia taswira yupo na bwege flani hivi anampiga doggy style huku shemeji analalamika kwa utamu, mbaya zaidi ukipata tetesi huyo mgoni wenu ana mgugu wa mtoto.
Maendeleo hayana chama
Pole sana mkuu nayajua maumivu unayoyapitia nakuombea Mungu zaidi kukupa uvumilivu na subira mpk kaka atakaporudi.
Yaani mkuu,natumia busara sana maana najijua vzr maana hata nikikutana na hawa watu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr,na nikawachapa ngumi vzr ila sitaki ndo maana nataka nimwambie brother ili atayejipendekeza atakuwa halali yangu,Pole sana mkuu nayajua maumivu unayoyapitia nakuombea Mungu zaidi kukupa uvumilivu na subira mpk kaka atakaporudi.
Maendeleo hayana chama
Acha ufala mkuu halafu wakiachana utafurahi watoto walelewe na baba tu au mama, mambo ya ndoa waachie wana ndoa.
Mkuu umenikumbusha mbali, kuna dogo mvulana, nilikuwa namwelewa sana na kumshauri juu ya mambo yake ya kimaendeleo. Alikuwa akifanikiwa sana.Inategemea mkuu,huyo shem anaweza kukugeuzia kibao ulikiwa unamtaka..kuwa makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu ukihitaji msaada wng katika kuwakalisha chini hao mabwege usisite kunijulisha, yaani sio siri ulivyoniambia kua shemu nae amejaaliwa ana chura kama yote nmejikuta tu roho inaniuma vibaya mno.Yaani mkuu,natumia busara sana maana najijua vzr maana hata nikikutana na hawa watu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr,na nikawachapa ngumi vzr ila sitaki ndo maana nataka nimwambie brother ili atayejipendekeza atakuwa halali yangu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana mkuuPamoja mkuu ukihitaji msaada wng katika kuwakalisha chini hao mabwege usisite kunijulisha, yaani sio siri ulivyoniambia kua shemu nae amejaaliwa ana chura kama yote nmejikuta tu roho inaniuma vibaya mno.
Maendeleo hayana chama
Ushahidi ni muhimuHabari wakuu,
Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,
Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,
Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kupewa na mume wake,shemeji yangu amepewa kila kitu na hata mimi shem ananiheshimu sana kama shem wake wa pekee hapa mjini ,kakazangu wengine wapo ila nao wanashughuli zao huko mkoani,
Tatizo la shem anaruka sana na wanaume mpaka mimi hii tabia yake nimeanza kuchukia sasa,
Sasa mimi namsubiri kaka yangu arudi kwake ili na mimi nikamwambie uchafu wa mke wake,
Najua hata nikimwambia kaka,hakuna ninayemtegemea kwa sasa,ila lazima niseme ukweli kwa kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila cha ajabu utakuta kaka naye ni mchepukaji mzuri tu na hivo anasafiri safiriHabari wakuu,
Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,
Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,
Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kupewa na mume wake,shemeji yangu amepewa kila kitu na hata mimi shem ananiheshimu sana kama shem wake wa pekee hapa mjini ,kakazangu wengine wapo ila nao wanashughuli zao huko mkoani,
Tatizo la shem anaruka sana na wanaume mpaka mimi hii tabia yake nimeanza kuchukia sasa,
Sasa mimi namsubiri kaka yangu arudi kwake ili na mimi nikamwambie uchafu wa mke wake,
Najua hata nikimwambia kaka,hakuna ninayemtegemea kwa sasa,ila lazima niseme ukweli kwa kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa leo nahisi kuna mtu anatumia hii ID yako, huu siyo mtizamo wa Karucee yule niliyemzoea
Sent using Jamii Forums mobile app
sikiliza anza na mwanamke kwanza ndo ufuate jamaa na mwambie kuwa una mueleza broHabari wakuu,